Rais Samia ahudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi kilichoketi leo Dodoma

Marais wengi ikiwemo Rais wa Marekani ratiba zao za week nzima zipo on. Nenda katafute WhiteHouse utaona ratiba ya rais. Sasa huyu wa Tanzania eti haitoki kwa sababu za usalama, usalama gani?

Huo ni Ushamba wa Usalama.
Imeichukua Marekani miaka takribani 240 kuweza kutangaza ratiba ya Rais weekly! Sasa unataka na Tanzania (miaka 60) waweze! Akili zako wewe! Unazijua mwenyewe!
 
Marais wengi ikiwemo Rais wa Marekani ratiba zao za week nzima zipo on. Nenda katafute WhiteHouse utaona ratiba ya rais. Sasa huyu wa Tanzania eti haitoki kwa sababu za usalama, usalama gani?

Huo ni Ushamba wa Usalama.
Unamfananisha Rais na Mama yako alioko Mbarizi huko, Ratiba ya Rais haiwezi kuwa Published
 
Mrudisheni Bashiru bana
 
Nafasi yake ni kama nani kwenye hiyo kamati kuu?
 
Hapo yupo kwenye kikao cha chama amekalia kiti cha Rais hapo ndio ujue CCM hawawezi kutenganisha viti hivi viwili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…