Rais Samia aiingiza Tanzania kwenye orodha ya nchi 10 tajiri Afrika 2021

Na kuna nchi 53, imagine nchi 30 za mwisho zina hali gani.
 
Praise team katika ubora wenu. Tunawatakia kila la kheri. Posho mnazopata mzitumie vyema.
 
Rubbish, hakuna anayezungumzia mfumuko wa bei zaidi ya kusifia ujinga
Argument yako ni ya kitoto, hata USA, nchi tajiri zaidi duniani, kuna mfumuko wa bei sasa hivi. Angaza macho oune kinachoendelea duniani usijichimbie bongo tu bwashee.
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜
 
Kuna watu wanapandisha bei za bidhaa kiholela kumchafua Rais Samia,

Waziri Mkuu pambana na hawa watu nia yao si njema kabisa,
Wana take advantage ya shida ya Dunia.

Pili nashangaa PM na mawaziri hawatoki kueleza ukweli kwamba inflation ni global issue na Tzn kama net importer tunaingia kwenye shida hiyo..

Majitu yamekaa ofisini as if ni Samia kasababisha mfumuko wa bei,huku ni kumhujumu Rais..

Ukame pia umeongeza mfumuko wa bei hasa vyakula but hakuna anaeleza umma,mbona kipindi cha Mwendazake walikuwa hawalali wanatetea Serikali?
 
Wametupachika,,tujitutumue. .ili watunyonye vizurigh
 
Rubbish
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Tanzania tunakwenda vizuri Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…