Rais Samia aiingiza Tanzania kwenye orodha ya nchi 10 tajiri Afrika 2021

Kunatofauti yakusifu na kueleza kazi ya mtu, Kuwa makini
Hakuna cha kua makini! Watanzania unafiki umejaa sana kipind cha Mwendazake hivohivo kusifu na kuabudu hata kwa vitu ambavyo haikua saw. Mwisho wa cku katangulia watu wamegeuka!!! Achen achen hizi mambo!!!
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Sifa za kijinga kabisa hizi,mtu hata hana mwaka ,dah!Exactly what is wrong with Tanzanians,kama mazezeta hivii.....
 
Kazi nzuri sanaaa
 
Kazii nzuri Tanzania,
 
kazi nzuri sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…