Rais Samia aiingiza Tanzania kwenye orodha ya nchi 10 tajiri Afrika 2021


Wapi yaliyofanyika mbali na marehemu magufuru hayoyahasii ni kusifia sifa zisizozake hata yeye akisoma huu uzi nanajua sifa za kijipendekeza
Kama mmepewa kazi basi iwe ya kutangaza mambo halisi
 
Tuko vizuri Sana
 
Amazingly mfumoko wa bei? mpuuzi kweli
soaring price fluctuation imeanza lini?, jambo na sifa hizi za wakati gani? ....
mf,magu alidai tuko uchumi wa kati covid-19 ikatushusha.
Uchumi wowote within hours unaweza kubadilika kutoka hatua Fulani mpaka hatua nyingine kutegemeana na upepo wa kidunia,Elewa....
 
Vitu vimeanza kupanda kabla ya vita ya Ukraine wewe dada, acheni maigizo kama ni kiongozi mzuri arudi kwenu Zanzibar aongoze au kwenu hamtaki kiongozi mzuri?
 
If you cook up figures and cheat, know that, the only person you are cheating in this wide world is yourself.
 
Hahahaaaa nchi kumi tajiri za kiafrika wakati huku mtaani watu wengi hawawezi hata kula mlo mmoja kwa siku nzima kwa kweli Hali ni mbaya mbaya mbaya sana nafikiri asilimia ya watanzania wanaorudi kwenye ufukara wa kutisha ni kubwa sana lakini hilo hakuna hata anayelizungumzia,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…