Rais Samia aingilie kati tatizo la wazee kuwaoa mabinti wadogo; aagize sheria ya ndoa kurekebishwa

Muswada uende bungeni haraka, kama sheria imeweka minimum age ya kuolewa au kuoa why isiweke MAXIMUM AGE! Itapunguza migogoro na vifo vya utata na vya haraka vya wazee, mtu akizeeka uwezo wake wa kufikiri unapungua daily, ndoa ni mkataba anayeingia lazma awe timamu 100% ma gold diggers sasa wana take advantage ya wazee warithi mali kiulaini. Kuoa iwe mwisho miaka 65.
 
Haiwezekani,watusogezee anagalau mpaka 75...
 
Aliyeolewa na mrema ni binti mdogo ?
 
Sasa wewe unataka binti awe mpweke asubirie kitu asichokuwa na uhakika nacho?
Vijana ndio wamepelekea mabinti wengi kuwa "single mothers" .
Nashauri, mabinti waliofikia umri wa kuolewa, waolewe na wanaume wanaowapenda bila kujali umri( Lasivyo, watabaki wanashangaa umri utakapo wapita. Maana kesho watajitokeza mabinti wengine, na wao watakuwa wameshachoka, hivyo hakuna atakayewajali).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…