Rais Samia aipa Taifa Stars Milioni 700 kufuzu AFCON

Rais Samia aipa Taifa Stars Milioni 700 kufuzu AFCON

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Kama lilivyotolewa gari kule Arusha kwa sheikh 'akafanyie shughuli zake', sasa ni zimetoka kwa stars, sasa hivi kura zinanunuliwa kwa hela tu, hakuna purukushani za kukamatwa wakikimbia na mabox!

Pia soma: Siasa kuingia kwenye michezo na wanamichezo kutumika kisiasa hatujali kuibomoa sekta hii?

====



1732035141031.png

Baada ya Tanzania kufuzu AFCON 2025 zitakazo chezwa Morocco, Rais Samia ametangaza kuwapatia zawadi ya Milioni 700 kama pongezi.

Mapema jana Rais Samia alitangaza mchezo wa leo utakuwa bure kwa kuwanunuliwa watazamaji wote viingilio.

Rais Samia pia alitoa ndege ya kupeleka timu ya Taifa CONGO DRC ambapo Taifa Stars ilicheza na Ethiopia na kushinda mchezo huo.

PIA SOMA
- Msigwa: Tutafanya kila kitu kinachohitajika kufuzu AFCON. Watanzania wasiikatie tamaa Taifa Stars

- News Alert: - Full Time Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024
 
𝑁𝑎𝑜𝑚𝑏𝑎 𝑛𝑖𝑤𝑒𝑘𝑒𝑤𝑒 𝐴𝑐𝑐 𝑦𝑎 𝑆𝑒𝑟𝑖𝑘𝑎𝑙𝑖 𝑛𝑖𝑡𝑢𝑚𝑒 𝑏𝑢𝑘𝑢 𝑙𝑎𝑛𝑔𝑢 𝑘𝑤𝑎 𝑊𝑎ℎ𝑎𝑛𝑔𝑎 𝑤𝑎 𝐾𝑎𝑟𝑖𝑎𝑘𝑜𝑜
 
Back
Top Bottom