Rais Samia aipa Taifa Stars Milioni 700 kufuzu AFCON

Rais Samia aipa Taifa Stars Milioni 700 kufuzu AFCON

Kwa haya yanayoendelea kila siku Unaweza Kuta TZ ndio nchi iliyolaaniwa kuliko nchi zote duniani.
Haya tuyaache hayo.
Kundi F huko AFCON litakuwa kama ifuatavyo:
Misri
Morocco
DRCongo
Tanzania
 
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kuwapa zawadi ya Tsh. milioni 700 Taifa Stars baada ya Tanzania kufuzu AFCON 2025 ambayo michezo yake itachezwa Morocco.

Akiongea na Wachezaji wa Stars Jijini Dar es aalaam leo November 19,2024, Waziri Ndumbaro amesema “Rais Samia alikuwa kwenye mkutano Brazil lakini kila baada ya dakika Wasaidizi wake walikuwa wanampenyezea karatasi kumuonesha matokeo yakoje, karatasi ya kwanza ilisema Msuva amekosa goli, ya pili Feitoto kapaisha, ya tatu Mzize anawatapisha Mabeki, ya nne wakamwambia Msuva aliyekosa magoli kafunga bao, Mh. Rais anawapongeza sana, pili ameelekeza Bunge la February mualikwe Bungeni, tatu amesema leo amedondosha kwenu zawadi za pongezi Tsh. milioni 700 na Mama hana mbambamba”

Itakumbukwa Rais Samia pia alilipia tiketi zote za mchezo wa leo na kuruhusu Wananchi kuangalia mchezo huo bure na pia alitoa ndege ya kupeleka timu ya Taifa CONGO DRC ambako Taifa Stars ilicheza na Ethiopia na kushinda mchezo huo.
 
Shida na wasiwasi wanguu hizo hela zitawafikia wacheazji

Mnakumbuka wale madogoo walifanikiwa kufuzu...wahaidiwa
Mwishoo wakaenda Tanga mmoja akagoma akaandika kwenye mtandaoooo

Tff wakasema zikoo mbon kufingizwa lwenye acc

Tujifunze kwa hiliii
Zinawafikia. Watu wenyewe wanahesabika, utaanzia wapi kuzipiga? Serikalini huwa zinapigwa zenye uharamu unaohalalishwa, kama vile miradi na allowance mbalimbali
 
𝑁𝑎𝑜𝑚𝑏𝑎 𝑛𝑖𝑤𝑒𝑘𝑒𝑤𝑒 𝐴𝑐𝑐 𝑦𝑎 𝑆𝑒𝑟𝑖𝑘𝑎𝑙𝑖 𝑛𝑖𝑡𝑢𝑚𝑒 𝑏𝑢𝑘𝑢 𝑙𝑎𝑛𝑔𝑢 𝑘𝑤𝑎 𝑊𝑎ℎ𝑎𝑛𝑔𝑎 𝑤𝑎 𝐾𝑎𝑟𝑖𝑎𝑘𝑜𝑜
Daaaah! Hivi, nini maana ya "WAHANGA"?

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu,

Kama lilivyotolewa gari kule Arusha kwa sheikh 'akafanyie shughuli zake', sasa ni zimetoka kwa stars, sasa hivi kura zinanunuliwa kwa hela tu, hakuna purukushani za kukamatwa wakikimbia na mabox!

====

Baada ya Tanzania kufuzu AFCON 2025 zitakazo chezwa Morocco, Rais Samia ametangaza kuwapatia zawadi ya Milioni 700 kama pongezi.

Mapema jana Rais Samia alitangaza mchezo wa leo utakuwa bure kwa kuwanunuliwa watazamaji wote viingilio.

Rais Samia pia alitoa ndege ya kupeleka timu ya Taifa CONGO DRC ambapo Taifa Stars ilicheza na Ethiopia na kushinda mchezo huo.

PIA SOMA
- Msigwa: Tutafanya kila kitu kinachohitajika kufuzu AFCON. Watanzania wasiikatie tamaa Taifa Stars

- News Alert: - Full Time Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024
Nyie watu hamna jema, hii dunia ukitaka kufurahisha binadamu utafeli tu
 
"Hili nalo mkalitizame" 😁🥶
 
Huyu mama washauri wake ni wa hovyo sana. Pesa yote hiyo unagawa tu, tuna viongozi wa hovyo sana.
 
Back
Top Bottom