Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Sidhani kama ni za uongo? Kipi kinakufanya usiziamini?Hii taarifa Ina ukweli? JamiiCheck hebu fanyeni kazi hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani kama ni za uongo? Kipi kinakufanya usiziamini?Hii taarifa Ina ukweli? JamiiCheck hebu fanyeni kazi hapa.
Kama ni kweli basi nikanunue kabisa pain killers maana maumivu nitayopata ni makali mno mkuu.Sidhani kama ni za uongo? Kipi kinakufanya usiziamini?
Hahaha.....yapo mengi chini ya kapeti na bora usiyajua.Kama ni kweli basi nikanunue kabisa pain killers maana maumivu nitayopata ni makali mno mkuu.
Harafu ❌️Sijui kama wahanga wa Kariakoo watakumbukwa!
Kama sivyo Niffer aachiwe huru harafu apewe maua yake!
Kuna mtoto kashindwa kwenda kutibiwa hospitali ya rufaa akiwa na tatizo la utumbo kuwa nje na gharama mzazi kaambiwa atoe mil1.2Shule hazina madawati
Hospital hamna dawa
Zinawafikia. Watu wenyewe wanahesabika, utaanzia wapi kuzipiga? Serikalini huwa zinapigwa zenye uharamu unaohalalishwa, kama vile miradi na allowance mbalimbaliShida na wasiwasi wanguu hizo hela zitawafikia wacheazji
Mnakumbuka wale madogoo walifanikiwa kufuzu...wahaidiwa
Mwishoo wakaenda Tanga mmoja akagoma akaandika kwenye mtandaoooo
Tff wakasema zikoo mbon kufingizwa lwenye acc
Tujifunze kwa hiliii
Uzi wako ule umefutwa, mods wameona umeandika upuuziCAPT HIZI PESA MSICHEZE NAZOOO FATILIENI MAPEMAAAA SHIRIKISHOO HALINA ...NA HELAAA USHAURI TU
Daaaah! Hivi, nini maana ya "WAHANGA"?𝑁𝑎𝑜𝑚𝑏𝑎 𝑛𝑖𝑤𝑒𝑘𝑒𝑤𝑒 𝐴𝑐𝑐 𝑦𝑎 𝑆𝑒𝑟𝑖𝑘𝑎𝑙𝑖 𝑛𝑖𝑡𝑢𝑚𝑒 𝑏𝑢𝑘𝑢 𝑙𝑎𝑛𝑔𝑢 𝑘𝑤𝑎 𝑊𝑎ℎ𝑎𝑛𝑔𝑎 𝑤𝑎 𝐾𝑎𝑟𝑖𝑎𝑘𝑜𝑜
Nyie watu hamna jema, hii dunia ukitaka kufurahisha binadamu utafeli tuWakuu,
Kama lilivyotolewa gari kule Arusha kwa sheikh 'akafanyie shughuli zake', sasa ni zimetoka kwa stars, sasa hivi kura zinanunuliwa kwa hela tu, hakuna purukushani za kukamatwa wakikimbia na mabox!
====
Baada ya Tanzania kufuzu AFCON 2025 zitakazo chezwa Morocco, Rais Samia ametangaza kuwapatia zawadi ya Milioni 700 kama pongezi.
Mapema jana Rais Samia alitangaza mchezo wa leo utakuwa bure kwa kuwanunuliwa watazamaji wote viingilio.
Rais Samia pia alitoa ndege ya kupeleka timu ya Taifa CONGO DRC ambapo Taifa Stars ilicheza na Ethiopia na kushinda mchezo huo.
PIA SOMA
- Msigwa: Tutafanya kila kitu kinachohitajika kufuzu AFCON. Watanzania wasiikatie tamaa Taifa Stars
- News Alert: - Full Time Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024
"Hili nalo mkalitizame" 😁🥶Wakuu,

Nchi Haina vifaa vya uokozi yeye anagawa million 700