Rais Samia aipa Taifa Stars Milioni 700 kufuzu AFCON

Mjiulize hizi pesa anazogawa bila aibu hadharani je ni kiasi gani anajichotea kisiri siri
namashaka huyu mzanzibar kila wiki anajichotea trillion moja anaweka kwenye account yake
Rais ana fungu liso hesabiwa kwa ajili ya mambo mbalimbali
 
Shida na wasiwasi wanguu hizo hela zitawafikia wacheazji

Mnakumbuka wale madogoo walifanikiwa kufuzu...wahaidiwa
Mwishoo wakaenda Tanga mmoja akagoma akaandika kwenye mtandaoooo

Tff wakasema zikoo mbon kufingizwa lwenye acc

Tujifunze kwa hiliii
 
Mjiulize hizi pesa anazogawa bila aibu hadharani je ni kiasi gani anajichotea kisiri siri
namashaka huyu mzanzibar kila wiki anajichotea trillion moja anaweka kwenye account yake
Nimecheka sanaa
 
Ni kwamba hizi ni zake au anatumia zetu kwa kutupangia matumizi ? La kwanza naweza kumpa Heko ila kama ni la pili naweza kumwambia acha kufuja pesa zetu...;
 
CAPT HIZI PESA MSICHEZE NAZOOO FATILIENI MAPEMAAAA SHIRIKISHOO HALINA ...NA HELAAA USHAURI TU
 
Huu ni mfano......yapo matumizi mengine ya fedha ukiyajua kichwa kitakuuma.

Hongereni Taifa Stars kwa kufuzu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…