Rais Samia aipa Taifa Stars Milioni 700 kufuzu AFCON

Hiii ni shule iliyokamilika kila kitu kuanzia madarasa, maabara, Ofisi namabweni....

Badala ya kuwapa achague eneo ijengewe shule kali ya advance (girls au Boys tupu) ipewe jina la TaifaStars High School.
Ungekuwa una plan nzuri hata kwenye fedha zako namna hiyo ungekuwa mbali zaidi ya hapo.

Punguzeni ushauri kila sector inahitaji hamasa haiwezakani kufanya unavyowaza wewe, sector ya michezo ni ajira hizo pesa hao watajenga zitarudi kwa watu,watafanya mahitaji zitarudi kwa watu.

Mbali na hapo hamasa hii ikisababisha tukapata professionals watakaoenda kucheza elite leagues huko watalipwa mapesa ambayo yataleta uwekezaji wao ambapo mamia yatapata ajira kupitia wachezaji hao, ulishawaza uwekezaji wa Mikel Obi pale Lagos?

Acheni ujuaji mwingi.
 
Ndio maana mimi siku hizi sishangilii hiyo timu yenu ya Taifa...ikishinda anasifiwa MTU MMOJA tu..asubuhi, mchana na usiku...ni Mama mama mama
 
Kariakoo tuna changa kwa lipa namba
Mimi ni pro- Goverment lakini kwenye hili limenitia ukwasi huwezi kuwa una msiba umeweka daftari nje watu kuchangia halafu wewe unaenda kutoa mchango wa harusi kabla ya kumaliza msiba. Inaweza kuwa nia ni nzuri lakini timing ni mbaya sana. Nimeamini mtu akikwambia sina pesa sio kwamba hana ila anayo yenye vipaumbele vingine.
 
Hata kama umesoma ila elimu haijakukomboa
 
Ungekuwa una plan nzuri hata kwenye fedha zako namna hiyo ungekuwa mbali zaidi ya hapo.
Mmmmh dada inaonekana unanifahamu hi sanaaa aseee......

By the way hamasa ni namna unavyoamua kuiweka na kuitafsiri bimkubwa.
 
Bila shaka unaandika ukiwa kitandani Milembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…