Rais Samia Aipongeza Taifa Stars kwa kufuzu hatua ya 16 bora kwa mara ya kwanza

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
10,592
Reaction score
15,404
Akitumia ukurasa wake wa X madam president ameandika

Ninaipongeza timu yetu ya Taifa ya mpira wa miguu, Taifa Stars kwa kufuzu hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu.

Heshima hii kubwa kwetu ni matokeo ya maandalizi mazuri na kujituma kwenu katika kila mchezo. Mmeandika historia kubwa kwa Taifa letu na mmeleta furaha kwa Watanzania wote. Hongereni sana.

Ninawatakia kila la kheri katika michezo inayofuata.

Up Next January 4th Morocco Vs Tanzania​
 
 
Your browser is not able to display this video.
 
Aliyeiona Tanzania hapo anishtue
maana yawezekana CHAWAS wapo wanajitekenya na kucheka wenyewe huku boss wao akiwa kusikojukilikana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…