Rais Samia Aipongeza Taifa Stars kwa kufuzu hatua ya 16 bora kwa mara ya kwanza

Rais Samia Aipongeza Taifa Stars kwa kufuzu hatua ya 16 bora kwa mara ya kwanza

Taifa stars wamefuzu, ama wamepitishwa!?
Lakini X si imepigwq ban, mama yenu anaitumiaje? Je anatumia vpn, inaruhusiwa

Ama kweli kwenye upepo mkali lazima uone zaga ya KUKU
Mara taifa stars, mara VPN, mara x,.hamueleweki kama mume wenu clemence mwandambo
 
Akitumia ukurasa wake wa X madam president ameandika

Ninaipongeza timu yetu ya Taifa ya mpira wa miguu, Taifa Stars kwa kufuzu hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu.

Heshima hii kubwa kwetu ni matokeo ya maandalizi mazuri na kujituma kwenu katika kila mchezo. Mmeandika historia kubwa kwa Taifa letu na mmeleta furaha kwa Watanzania wote. Hongereni sana.

Ninawatakia kila la kheri katika michezo inayofuata.

Up Next January 4th Morocco Vs Tanzania​
View attachment 3522944
Hongera Samia kwa kuwezesha Taifa Stars kufuzu. Bila uwezo wako wa ajabu wa kutenda miujiza, haya yangetokeaje? Nakushukuru sana rais. Hawa Taifa Stars wanapaswa kukupongeza wewe na siyo wewe kuwapongeza. Maana, kila walipokuwaza, nguvu zao za kimwili ziliongezeka. Kila wakiwazia picha yao, misuli yao ilizidi kupata nguvu.
 
nani asiyejua kwamba football is rigged? hizo fedha mnazotumia kuhonga kwa nini msizitumie kuwapa watu maji? ...
300milioni zingelipia wanafunzi 1000 waliokosa mikopo kwenda vyuo vikuu.
Kama magoli yanapewa kipaumbele kuliko elimu, afya, maji,...then, we have got our priorities upside down.
 
Huu ndio umaku tulikuwa hatuutaki, binafsi nilitaka stars watolewe kukwepa ujumbe wa aina hii!.
Wewe ulizaliwa na mwanamke kweli? Ulilelewa na wazazi wako kweli?
Upumbavu wako unaliharibu jukwaa letu kwasababu ya matusi Yako. Ulaaaniwe sana
 
300milioni zingelipia wanafunzi 1000 waliokosa mikopo kwenda vyuo vikuu.
Kama magoli yanapewa kipaumbele kuliko elimu, afya, maji,...then, we have got our priorities upside down.
Msomeshe mtoto wako mmezoea kulelewa na mabeberu mpaka mnajisahau. Familia zote zipo Canada kwa wazee wakizungu nyny mnahangaika na donation za kitapeli nchini eti mnatafuta Hela ya mwaka mpya..... foolish
 
Taifa stars wamefuzu, ama wamepitishwa!?
Lakini X si imepigwq ban, mama yenu anaitumiaje? Je anatumia vpn, inaruhusiwa

Ama kweli kwenye upepo mkali lazima uone zaga ya KUKU
Unaroho ya chuki angalia utapigwa na kiharusi moto wa Taifa Stars si wakitoto.
 
nani asiyejua kwamba football is rigged? hizo fedha mnazotumia kuhonga kwa nini msizitumie kuwapa watu maji? ...
Nenda na wewe ukacheze upate Hela acha wivu mtoto wa kiume utaanza kujiuza upate hela
 
Back
Top Bottom