mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Hata aibu hawaoni.na wanapongezana kabisa.
BEST LUZA
BEST LUZA
Wewe kama nani!?..rais ametoa na kuendelea kutoa motisha kwa stars na timu za ndani wakifunga goli kimataifa,wakifanikiwa hutaki apongeze,timu ya babaako hiyo uchague wa kupongeza!?
Maskini wa Matajiri huyo ni tajiri na Tajiri wa Maskini huyo ni maskini. Sisi tumekuwa maskini wa matajiri kwahiyo ni matajiri.16 bora au mbovu alitejitahidi?
Mtafurahi zaidi mtakapopigwa mkono na Morocco.Maskini wa Matajiri huyo ni tajiri na Tajiri wa Maskini huyo ni maskini. Sisi tumekuwa maskini wa matajiri kwahiyo ni matajiri.
I hate that woman!mbna utaumia sana
Hii takataka tu. Hilo limanyonyo bado halijafa tuAkitumia ukurasa wake wa X madam president ameandika
Ninaipongeza timu yetu ya Taifa ya mpira wa miguu, Taifa Stars kwa kufuzu hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu.View attachment 3522944
Heshima hii kubwa kwetu ni matokeo ya maandalizi mazuri na kujituma kwenu katika kila mchezo. Mmeandika historia kubwa kwa Taifa letu na mmeleta furaha kwa Watanzania wote. Hongereni sana.
Ninawatakia kila la kheri katika michezo inayofuata.
Up Next January 4th Morocco Vs Tanzania
Tunazungumzia utajiri hapa?Wewe familia Yako ipo nafasi Gani kwa utajiri Africa
inasaidia nn sasaI hate that woman!
historia kubwa sana nchiniAkitumia ukurasa wake wa X madam president ameandika