Rais Samia Aipongeza Taifa Stars kwa kufuzu hatua ya 16 bora kwa mara ya kwanza

Hata aibu hawaoni.na wanapongezana kabisa.
BEST LUZA
 
Wewe kama nani!?..rais ametoa na kuendelea kutoa motisha kwa stars na timu za ndani wakifunga goli kimataifa,wakifanikiwa hutaki apongeze,timu ya babaako hiyo uchague wa kupongeza!?

..ameuwa madogo wasiokuwa na hatia katika soka academy kule Mwanza.

..mpaka leo hajatoa pole wala kujutia watoto wale kuuwawa.

Cc Nguruvi3
 
Bashite naye katangaza 1 bilioni kwa Kila BAO Moja.
Maajabu ya Tanganyika hayataisha mpaka Yesu atakaporudi
 
Hii takataka tu. Hilo limanyonyo bado halijafa tu
 
Pongezi nyingi ziende kwa mama Samia kwa kuinua michezo, juhudi zake hatimaye zimeanza kuzaa matunda.
 
historia kubwa sana nchini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…