Rais Samia aipongeza Yanga kwa ushindi mkubwa

Rais Samia aipongeza Yanga kwa ushindi mkubwa

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,224
Reaction score
4,472
Baaada ya Derby ya Leo Mheshimiwa Rais wa Nchi Samia suluhu hassan ametoa pongezi zake kwa Team ya Yanga kwa ushindi Mkubwa.
Hii ni kupitia Account yake ya Mtandao wa (x)

Screenshot_20231105-193609_X.jpg

Alikua Mbowe siku ya Kule Rwanda Leo Samia.
 
Pole makolo..... mchungaji mashimo aliwaambia

Hadi Barbra na professional yake alipost eti kisa mvua imepigwa + jumapili basi makolo watashinda[emoji23][emoji23]

Walichokosea makolo ni kuruhusu mchezo wa kupishana na viungo wa Yanga
Walikua wanauliza zile Tano Tano ziko wapi zimewakuta wao😁😁
 
Back
Top Bottom