Rais Samia aipongeza Yanga kwa ushindi mkubwa

Rais Samia aipongeza Yanga kwa ushindi mkubwa

Rais wa JMT Dr Samia Suluhu Hassan ametuma Salamu za Pongezi kwa timu ya Yanga baada ya kuifunga Simba SC 5-1

Rais Samia amesema Mpira ni burudani na vilabu vya Simba na Yanga vinatuburudisha

Mlale Unono 😀
Salamu zake tunazipokea yanga kwa shukrani zote

Ila simba wakicheza na yanga wasilete wacheza netiboli kwenye mpira wa miguu wanadhalilisha mpira wa miguu awape onyo simba .Simba kufungwa magoli matano huo mchezo wa netiboli wa wanawake sio wanaume

Simba wakiona kuwa kuna mechi na yanga walete kikosi cha wacheza mpira wa miguu sio netiboli
 
Back
Top Bottom