Rais Samia aipongeza Yanga kwa ushindi mkubwa

Kwa matokeo ya Jana ya Simba kufungiwa goli Tano, Kuna jambo nyuma yake.

Baada ya mechi Rais Samia aliungana na wanaYanga wenzake kuwadhihaki WanaSimba.

Hii ni Jambo la Ajabu kwa kiongozi wa nchi kupongeza anguko la timu ya ndani ya nchi yake. Ingekua

Yanga ameifunga timu ya nje ya Nchi basi kusingekua na Shaka Rais kupongeza.

Lakini kitendo Cha Samia kutumia nafasi yake kuisaidia Yanga, haikubaliki.

Simba lazima Kuna jambo walifanyiwa wachezaji nje ya uwanja. Simba haikuwa ile iliyocheza na Al Ahly. Simba wote walikua wamechoka sana, wachezaji walikosa nguvu. Ilikua wazi kabisa Kunahali isiyo ya kawaida kwa wachezaji. Maamuzi ya refa nayo yanatia mashaka.

Ni wazi refa alikua na maagizo maalum ya kuhakikisha Rais Samia anafurahia matokeo. Kadi zilitolewa kimkakati ilo kudhoofisha Simba. Na hata goli la pili limefungwa baada ya MCHEZAJI wa Simba kuangushwa.

Hili tulikiona mapema. Rais Samia Ondok Iluku ukawe kiongozi Yanga. Haupaswi kuonesha Ushabiki wako wakati ni kiongozi wa wote. Msimu ulioisha ulitumia Mali za Serikali kuisaidia Yanga. Ulisafiri na Yanga na hata Kuna mashaka kuwa Kunapesa unazitoa kusaidia Usajili wa Yanga.

Hongera kwa kufanikisha Malengo yako. Sasa kwakua unayo mamlaka, Nakushauri uifute Simba ili ubaki na timu yako Yanga
 
Nikikuita mpumbavu nahisi sitokosea. Ukome kumhusisha Rais na upuuzi wa timu yako. Wenzako walisajili wew ulikuwa unaleta maigizo.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Kwa matokeo ya Jana ya Simba kufungiwa goli Tano, Kuna jambo nyuma yake.

Baada ya mechi Rais Samia aliungana na wanaYanga wenzake kuwadhihaki WanaSimba.

Hii ni Jambo la Ajabu kwa kiongozi wa nchi kupongeza anguko la timu ya ndani ya nchi yake. Ingekua

Yanga ameifunga timu ya nje ya Nchi basi kusingekua na Shaka Rais kupongeza.

Lakini kitendo Cha Samia kutumia nafasi yake kuisaidia Yanga, haikubaliki.

Simba lazima Kuna jambo walifanyiwa wachezaji nje ya uwanja. Simba haikuwa ile iliyocheza na Al Ahly. Simba wote walikua wamechoka sana, wachezaji walikosa nguvu. Ilikua wazi kabisa Kunahali isiyo ya kawaida kwa wachezaji. Maamuzi ya refa nayo yanatia mashaka.

Ni wazi refa alikua na maagizo maalum ya kuhakikisha Rais Samia anafurahia matokeo. Kadi zilitolewa kimkakati ilo kudhoofisha Simba. Na hata goli la pili limefungwa baada ya MCHEZAJI wa Simba kuangushwa.

Hili tulikiona mapema. Rais Samia Ondok Iluku ukawe kiongozi Yanga. Haupaswi kuonesha Ushabiki wako wakati ni kiongozi wa wote. Msimu ulioisha ulitumia Mali za Serikali kuisaidia Yanga. Ulisafiri na Yanga na hata Kuna mashaka kuwa Kunapesa unazitoa kusaidia Usajili wa Yanga.

Hongera kwa kufanikisha Malengo yako. Sasa kwakua unayo mamlaka, Nakushauri uifute Simba ili ubaki na timu yako Yanga
Una hoja usipuuzwe. Ila sijui ukweli wake.
 
vipi ile penati yanga aliyonyimwa na refa,nayo yalikuwa ni maagizo. Ingawa mama Samia alichofanya kuipongeza Yanga sijapenda., Aachane na ushabiki wa hizi timu ataishia kulaumiwa tu
 
Baada ya show ya jana, leo alitoka bila ya kuaga na hata pesa yake hakudai.
FB_IMG_1698856753698.jpg
 
Back
Top Bottom