Rais Samia aipongeza Yanga kwa ushindi mkubwa

Kwa matokeo ya Jana ya Simba kufungiwa goli Tano, Kuna jambo nyuma yake.
Baada ya mechi Rais Samia aliungana na wanaYanga wenzake kuwadhihaki WanaSimba.
Hii ni Jambo la Ajabu kwa kiongozi wa nchi kupongeza anguko la timu ya ndani ya nchi yake. Ingekua Yanga ameifunga timu ya nje ya Nchi basi kusingekua na Shaka Rais kupongeza.
Lakini kitendo Cha Samia kutumia nafasi yake kuisaidia Yanga, haikubaliki.

Simba lazima Kuna jambo walifanyiwa wachezaji nje ya uwanja. Simba haikuwa ile iliyocheza na Al Ahly. Simba wote walikua wamechoka sana, wachezaji walikosa nguvu. Ilikua wazi kabisa Kunahali isiyo ya kawaida kwa wachezaji.
Maamuzi ya refa nayo yanatia mashaka.
Ni wazi refa alikua na maagizo maalum ya kuhakikisha Rais Samia anafurahia matokeo.
Kadi zilitolewa kimkakati ilo kudhoofisha Simba. Na hata goli la pili limefungwa baada ya MCHEZAJI wa Simba kuangushwa.
Hili tulikiona mapema.
Rais Samia Ondok Iluku ukawe kiongozi Yanga.
Haupaswi kuonesha Ushabiki wako wakati ni kiongozi wa wote.
Msimu ulioisha ulitumia Mali za Serikali kuisaidia Yanga. Ulisafiri na Yanga na hata Kuna mashaka kuwa Kunapesa unazitoa kusaidia Usajili wa Yanga.
Hongera kwa kufanikisha Malengo yako.
Sasa kwakua unayo mamlaka, Nakushauri uifute Simba ili ubaki na timu yako Yanga
Utaumia sana, Kwana Rais hana Hisia kwamba asipende Team?..
Maamuzi ya Refa!! Vipi Kapombe kudaka Miguu ya Mudathiri?
 
Mbona Kikwete hamkumsema??

Vipi RC Makonda?
 
Simba iliyocheza na Al Ahliy ipi?

Kwamba bado mnaona Al Ahliy ni timu kubwa na Yanga timu ndogo?. Hapo ndo mnapofeli, never underestimate ur opponent.. Kuanzia Aucho, Mudathir, Maxi, Pacome na Ki . Hiki kiungo unaona ni kidogo by experience??

Shame on u
 
Simba ameshinda mechi 6 kati 7, ubovu wake uko wapi?
Mimi nimeanza kuifuatilia Simba tokea tokea 1978 na nilikuwa active sana hadi 1994 baadae maisha yakanifanya kuwa bize na kuacha kufuatilia sana.

Ila kipigo cha jana ni ubovu wa Mabeki wa SIMBA unaziacha move watu wanajiingilia kama kwao.
 
Kufungwa ni sehemu ya mchezo hata Man city anapigwa nyingi tu.
 
Back
Top Bottom