THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Walikua wanauliza zile Tano Tano ziko wapi zimewakuta waoππPole makolo..... mchungaji mashimo aliwaambia
Hadi Barbra na professional yake alipost eti kisa mvua imepigwa + jumapili basi makolo watashinda[emoji23][emoji23]
Walichokosea makolo ni kuruhusu mchezo wa kupishana na viungo wa Yanga
Kama inauma Omba PoooMbona Simba iliposhinda 2-1 hakupongeza. Ajiweke Tu wazi kama Kikwete kuwa yeye ni Uto.
Simba wajifunze Mpira sio HamasaYanga Ina usajili mzuri hakuna sababu ingine!
Ajiweke wazi Mara ngapiMbona Simba iliposhinda 2-1 hakupongeza. Ajiweke Tu wazi kama Kikwete kuwa yeye ni Uto.
Haelewi we mtu hadi kaalika Team Ikulu haelewi tuAjiweke wazi Mara ngapi
Hadi anaenda nao MalawiHaelewi we mtu hadi kaalika Team Ikulu haelewi tu
Mishabiki ya Simba mbona inamshobokea sasa mara imchore mara vile wakati sio mwenzao.Ajiweke wazi Mara ngapi
Waliwaona wenzao waliokuwa wanapigwa 5 kama walikuwa wazembe, haya Leo 5G imesoma kwao[emoji23][emoji23]Walikua wanauliza zile Tano Tano ziko wapi zimewakuta wao[emoji16][emoji16]
Walikua wanawaita wabovuπWaliwaona wenzao waliokuwa wanapigwa 5 kama walikuwa wazembe, haya Leo 5G imesoma kwao[emoji23][emoji23]
Marais wote Yanga ππHuyu mama ni mnazi mwenzetu kabisa wa Jangwani huyu
Maharajah....
Makolo FC punguza Makasiriko ππ₯Huyu mwehu watu wanaiba matrillion kwa mujibu wa CAG yeye anaangaika na mpira mjinga huyu