Rais Samia aipongeza Yanga kwa ushindi mkubwa

Utaumia sana, Kwana Rais hana Hisia kwamba asipende Team?..
Maamuzi ya Refa!! Vipi Kapombe kudaka Miguu ya Mudathiri?
 
Mbona Kikwete hamkumsema??

Vipi RC Makonda?
 
Simba iliyocheza na Al Ahliy ipi?

Kwamba bado mnaona Al Ahliy ni timu kubwa na Yanga timu ndogo?. Hapo ndo mnapofeli, never underestimate ur opponent.. Kuanzia Aucho, Mudathir, Maxi, Pacome na Ki . Hiki kiungo unaona ni kidogo by experience??

Shame on u
 
Simba ameshinda mechi 6 kati 7, ubovu wake uko wapi?
Mimi nimeanza kuifuatilia Simba tokea tokea 1978 na nilikuwa active sana hadi 1994 baadae maisha yakanifanya kuwa bize na kuacha kufuatilia sana.

Ila kipigo cha jana ni ubovu wa Mabeki wa SIMBA unaziacha move watu wanajiingilia kama kwao.
 
Kufungwa ni sehemu ya mchezo hata Man city anapigwa nyingi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…