The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Mm nafikiri vichwa vyawatu wanaopinga mpango waserekali ndio vibovuHayawi hayawi sasa yamekuwa. Rais Samia kajificha siku nyingi sana pamoja na sakata hili la bandari. Simba day itaonekana mubashara Tanzania na dunia nzima na mamilioni ya watu watakuwa wanafutilia tukio hilo.
Kabla ya Utambulisho wa wachezaji Rais atumie siku hiyo kutuambia nini kimemsukuma hadi kusaini mkataba mbovu namna ile wa kimangungo labda tutamwelewa.
Pia soma: Rais Samia mgeni rasmi Simba Day, Agosti 6, 2023
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Rais Samia kajificha siku nyingi sana pamoja na sakata hili la bandari. Simba day itaonekana mubashara Tanzania na dunia nzima na mamilioni ya watu watakuwa wanafutilia tukio hilo.
Kabla ya Utambulisho wa wachezaji Rais atumie siku hiyo kutuambia nini kimemsukuma hadi kusaini mkataba mbovu namna ile wa kimangungo labda tutamwelewa.
Pia soma: Rais Samia mgeni rasmi Simba Day, Agosti 6, 2023
Hee nawe na GT kweriBosi hakuna lingine unawaza zaidi ya mkataba wa bandari?
Huo mkataba usipokuwepo ww kama ww na family yako unaadhirika na nini au ukiwepo unaadhirika na nini?
Tuambie faida ambazo ulikuwa unapata wakati hakuna huu mkataba
Na ambazo utazikosa huu mkataba ukiwepo
Mimi ni Simba damu damu lakini bado sijamwelewa anachotaka hasa.Samia ameshindwa kutupa majibu ya kwanini walisaini ule mkataba wa hovyo wa bandari, sasa kwa kuthibitisha hilo, ameamua kutumia "cheap popularity" ili kutafuta "political sympathy" toka kwa watanganyika.
Huyu analazimisha kushangiliwa kwa sababu ya nafasi yake, na uwepo wake kwenye eneo husika, kisha wajinga wanataka wajidanganye yule msaliti ana support ya watanganyika, lakini amefeli kuturidhisha kwa majibu mazuri kwenye jambo nyeti linalogusa maslahi ya vizazi vya Tanganyika.
Kwa jambo nyeti kama lile la bandari, kutuambia ametuzibia masikio, kisha anakuwa na muda wa kuhudhuria matamasha kama hayo, inaonesha dhahiri vile tulivyo na kiongozi empty, asiyejielewa, wala hajui anapoelekea wala kutupeleka kama taifa, hasara tupu.
Samia ameshindwa kutupa majibu ya kwanini walisaini ule mkataba wa hovyo wa bandari, sasa kwa kuthibitisha hilo, ameamua kutumia "cheap popularity" ili kutafuta "political sympathy" toka kwa watanganyika.
Huyu analazimisha kushangiliwa kwa sababu ya nafasi yake, na uwepo wake kwenye eneo husika, kisha wajinga wanataka wajidanganye yule msaliti ana support ya watanganyika, lakini amefeli kuturidhisha kwa majibu mazuri kwenye jambo nyeti linalogusa maslahi ya vizazi vya Tanganyika.
Kwa jambo nyeti kama lile la bandari, kutuambia ametuzibia masikio, kisha anakuwa na muda wa kuhudhuria matamasha kama hayo, inaonesha dhahiri vile tulivyo na kiongozi empty, asiyejielewa, wala hajui anapoelekea wala kutupeleka kama taifa, hasara tupu.
Mimi ni Simba damu damu lakini bado sijamwelewa anachotaka hasa.
Bandari hovyo, mafuta taharuki halafu kweli anakwenda Simba day kula bata!? Hee

Nenda kakate viuno huko jukwaa la singeli. Mpumbavu mmoja
Tuna mwanasesere ,hatuna rais hapoHayawi hayawi sasa yamekuwa. Rais Samia kajificha siku nyingi sana pamoja na sakata hili la bandari. Simba day itaonekana mubashara Tanzania na dunia nzima na mamilioni ya watu watakuwa wanafutilia tukio hilo.
Kabla ya Utambulisho wa wachezaji Rais atumie siku hiyo kutuambia nini kimemsukuma hadi kusaini mkataba mbovu namna ile wa kimangungo labda tutamwelewa.
Pia soma: Rais Samia mgeni rasmi Simba Day, Agosti 6, 2023
iyo bandar inakusaidia nini wewe na familia yako?Samia ameshindwa kutupa majibu ya kwanini walisaini ule mkataba wa hovyo wa bandari, sasa kwa kuthibitisha hilo, ameamua kutumia "cheap popularity" ili kutafuta "political sympathy" toka kwa watanganyika.
Huyu analazimisha kushangiliwa kwa sababu ya nafasi yake, na uwepo wake kwenye eneo husika, kisha wajinga wanataka wajidanganye yule msaliti ana support ya watanganyika, lakini amefeli kuturidhisha kwa majibu mazuri kwenye jambo nyeti linalogusa maslahi ya vizazi vya Tanganyika.
Kwa jambo nyeti kama lile la bandari, kutuambia ametuzibia masikio, kisha anakuwa na muda wa kuhudhuria matamasha kama hayo, inaonesha dhahiri vile tulivyo na kiongozi empty, asiyejielewa, wala hajui anapoelekea wala kutupeleka kama taifa, hasara tupu.
Atapata udhuru atatuma mwakilishiHayawi hayawi sasa yamekuwa. Rais Samia kajificha siku nyingi sana pamoja na sakata hili la bandari. Simba day itaonekana mubashara Tanzania na dunia nzima na mamilioni ya watu watakuwa wanafutilia tukio hilo.
Kabla ya Utambulisho wa wachezaji Rais atumie siku hiyo kutuambia nini kimemsukuma hadi kusaini mkataba mbovu namna ile wa kimangungo labda tutamwelewa.
Pia soma: Rais Samia mgeni rasmi Simba Day, Agosti 6, 2023
Kodi inayopatikana pale ndio inawezesha huduma bora za kijamii, na ajira kwa watanganyika.iyo bandar inakusaidia nini wewe na familia yako?
MKUU NAOMBA UJIHESHIMUHayawi hayawi sasa yamekuwa. Rais Samia kajificha siku nyingi sana pamoja na sakata hili la bandari. Simba day itaonekana mubashara Tanzania na dunia nzima na mamilioni ya watu watakuwa wanafutilia tukio hilo.