Rais Samia aitumie Simba Day kutuambia kwanini alisaini Mkataba mbovu wa Bandari

Rais Samia aitumie Simba Day kutuambia kwanini alisaini Mkataba mbovu wa Bandari

Hawezi kukitaja anabwabwaja tu
Hata mjinga akikaa kimya huonekana ana busara lakini wewe zuzu kweli kweli.
Magufuli alisema ni kichaa pekee anayeweza kusaini mkataba wa kuwapa wachina bandari moja kuimiliki miaka 99.
Lakini bi tozo amegawa bandari zote kwa waarabu.Kwa mujibu wa Magufuli vichaa kama wewe hamuwezi ona tatizo.
 
Kama umeshindwa kuelewa kwa wana CCM wenzio wenye upeo kama profesa Tibaijuka, Profesa Shivaji, Jaji Sinde Warioba wewe huwezi kuelemika kawasikilize vilaza wenzio akina msukuma na Kibajaji.
Kufatafata mkumbo sio jambo zuri.
Ona sass unavyojizungushazungusha..
Si useme hivyo vipengele!?
Huna ujualo wewe.
 
Kufatafata mkumbo sio jambo zuri.
Ona sass unavyojizungushazungusha..
Si useme hivyo vipengele!?
Huna ujualo wewe.
Vipengele wanasomewa wenye akili sio zuzu kama wewe ni kupoteza muda kama Magufuli alivyo sema ninyi ni vichaa sasa kichaa ana ufahamu gani hata umsomee kitu cha maana.
Asiye jua maana haambiwi maana.
 
Hao wanaosema mkataba hauna ubovu me sijauona lakini naomba wanionye vipengele:_
1. Muda wa mkataba kuisha
2. Ni kipi tanzania tutapata kama faida kutokana na uwekezaji huo.
3. Masharti ya kuvunjwa mkataba endapo utakiukwa.
.
Kwa wote mnaopga kelele hapo juu naomba mnionyeshe vipengele tajwa hapo juu
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Rais Samia kajificha siku nyingi sana pamoja na sakata hili la bandari. Simba day itaonekana mubashara Tanzania na dunia nzima na mamilioni ya watu watakuwa wanafutilia tukio hilo.

Kabla ya Utambulisho wa wachezaji Rais atumie siku hiyo kutuambia nini kimemsukuma hadi kusaini mkataba mbovu namna ile wa kimangungo labda tutamwelewa.

Pia soma: Rais Samia mgeni rasmi Simba Day, Agosti 6, 2023
[emoji23]
 
Back
Top Bottom