Anatafuta kuungwa mkono kupitia Kwenye football hooliganism, Kwa hili la Bandari haitasaidia.Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Rais Samia kajificha siku nyingi sana pamoja na sakata hili la bandari. Simba day itaonekana mubashara Tanzania na dunia nzima na mamilioni ya watu watakuwa wanafutilia tukio hilo.
Kabla ya Utambulisho wa wachezaji Rais atumie siku hiyo kutuambia nini kimemsukuma hadi kusaini mkataba mbovu namna ile wa kimangungo labda tutamwelewa.
Pia soma: Rais Samia mgeni rasmi Simba Day, Agosti 6, 2023
Cheap politics Kwa wanasiasa wenye kubabaisha