Rais Samia aitumie Simba Day kutuambia kwanini alisaini Mkataba mbovu wa Bandari

Anatafuta kuungwa mkono kupitia Kwenye football hooliganism, Kwa hili la Bandari haitasaidia.
Cheap politics Kwa wanasiasa wenye kubabaisha
 
Anatafuta kuungwa mkono kupitia Kwenye football hooliganism, Kwa hili la Bandari haitasaidia.
Cheap politics Kwa wanasiasa wenye kubabaisha
Sure. Ila uzuri siku hizi watu wako hatua moja mbele huwadanganyi.
 
Samia ni mnafki na kibri kimemjaa!
 
Anatafuta kuungwa mkono kupitia Kwenye football hooliganism, Kwa hili la Bandari haitasaidia.
Cheap politics Kwa wanasiasa wenye kubabaisha
Mkuu hilo mbona limeisha
 
Yaani Kwenye Simba Day Mtuletee Utopolo Wenu. Tuache na Mama yetu tujivinjari Simba Day na hayo mambo mngeyafanya kwenye Yanga Day. Cc tayari tumeisha elewa lengo la Serikali ni kuwaletea Maendeleo Wananchi na Kufurahia good tym.

NB : Serikali ilitoa Maelekezo Wenye Ushauri Wapeleke kwenye kamati lakini Kwasababu Kuna Watu wanamuelewa yule raia wa Uturuki kuliko Watanzania ndiyo maana hauelewi hata kinachoendelea
 
Ungesom kwanza mkataba vipengere vyenye utata husingeandika uharo huu
 
Anaye unga mkono mkataba huu wakitapeli kuna mawili anamaslahi binafsi au ni mwendawazimu
 
Ungesom kwanza mkataba vipengere vyenye utata husingeandika uharo huu

Ww umesoma au umeadisiwa? Unafata mkumbo Tu

Lete hapa hivyo vipengele ambavyo ww kwa akili zako sio za kuambiwa no zako mwenyewe unaona vina utata
 
Hee nawe na GT kweri
Ww umesoma au umeadisiwa? Unafata mkumbo Tu

Lete hapa hivyo vipengele ambavyo ww kwa akili zako sio za kuambiwa no zako mwenyewe unaona vina utata
Kama mpka Leo hujui ubovu wa mkataba jijue kuwa wew ni ZUZU jinga. Katibu mkuu wa ccm kwa kinafiki anasema serikali ipokee maoni ya wananchi hayo maoni ni yanini kama mkataba upo sawia?
Waswahili wana msemo wao kuwa asie jua maana haambiwi maana.
Kwa kuwa wew ni zuzu hata ukiambiwa maana haita kusaidia baki na ujinga wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…