Rais Samia aitumie Simba Day kutuambia kwanini alisaini Mkataba mbovu wa Bandari

I think na wewe hujui hata huo mkataba unafananaje

Tuambie wewe unavyoelewa hayo mambo ambayo unaona yanamapungufu

Very possible na wewe unafata mkumbo Tu hakuna unachojua

Screenshot and highlight hizo sehemu ambazo wewe unaona zinamapungufu makubwa

Sio unaleta makelele na ujuaji tu
 
Asiye jua maana haambiwi maana wahenga walisha sema nenda kamsikilize std 7 mwenzio Msukuma mtaelewana siwezi toa elimu yangu niliyo ipta kwa gharama kubwa kwa zuzu kama wewe.
 
Asiye jua maana haambiwi maana wahenga walisha sema nenda kamsikilize std 7 mwenzio Msukuma mtaelewana siwezi toa elimu yangu niliyo ipta kwa gharama kubwa kwa zuzu kama wewe.

Huna lolote hakuna kitu unakijua

Unadandia Tu hoja bila kujua undani wake

Unaleta mambo ya wahenga 2023, ? Kweli Wewe ni Jinga kabisa
 
Atoe ,Majibu sio KAZI yake ,KAZI ya wanasheria

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Hivi ni kipengere kipi kibovu kwenye mkataba? yaani kinasemaje?
Kugusa bandari za Tanganyika pekee na zile za Zanzibar haziguswi kwny huu mkataba,viongoz na wewe mwenyewe hamuoni kuwa huo Ni ubov Tisha wa mkataba??
 
Wameshikiwa akili

Wakilala wakiamka bandari bandari bandari!
Wamekuwa majinga flani hv
 
Pole yako weee
Unawaza bandari tu masikini mpk nakuona unavyozeeka vibaya.
Kalagabaho, peoples are busy na Simba Day, hayo ya bandari baki nayo huku huku mitandaoni usiwaharibie watu Simba Day yao
 
Unataka hutaki Mama ndo keshaamua na huna la kumfanya.
Ikikuuma sana jinyonge au hama nchi lkn hakuna wa kusikiliza gubu lako
 
Huyu Mama ana matatizo sana kuna mambo anatakiwa kuyasemea ili mioyo ya wananchi ipoe kakaa kimya yani kama sio dharau ni nini?
Sijui nyie. Sisi wengine mioyo yetu imepooowwwa
 
Huna lolote hakuna kitu unakijua

Unadandia Tu hoja bila kujua undani wake

Unaleta mambo ya wahenga 2023, ? Kweli Wewe ni Jinga kabisa
Mwenzio Mwenye akili kama zako Wasira aliwaambia Watu wa Chato wamzomee Tundu Lissu cha ajabu Watu wamepuuza na wakamsikiliza Tundu Lissu mwanzo mwisho na kumpigia makofi kwa kuwapa darasa adhimu na la kizalendo.
Halafu unataka mimi nipoteze muda kukuelimisha zuzu kama Wasira wewe.
 
Asiye jua maana haambiwi maana wahenga walisha sema nenda kamsikilize std 7 mwenzio Msukuma mtaelewana siwezi toa elimu yangu niliyo ipta kwa gharama kubwa kwa zuzu kama wewe.
Huna lolote.
Unafata mkumbo tu.
Si uweke hivyo vipengele
 
Huna lolote hakuna kitu unakijua

Unadandia Tu hoja bila kujua undani wake

Unaleta mambo ya wahenga 2023, ? Kweli Wewe ni Jinga kabisa
Kakimbia kwa manenonya kizamaaani, eti asiyejua maana
 
Usikimbie swali.
We si ndo umejifanya eti wajua vipengele vibovu, si uweke tu kelele za nini sasa
 
Huna lolote.
Unafata mkumbo tu.
Si uweke hivyo vipengele
Kama umeshindwa kuelewa kwa wana CCM wenzio wenye upeo kama profesa Tibaijuka, Profesa Shivaji, Jaji Sinde Warioba wewe huwezi kuelemika kawasikilize vilaza wenzio akina msukuma na Kibajaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…