Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi aliyoifanya mh Rais haihitaji kupakwa mafuta maana inajionyesha yenyewe kwa yeyote mwenye macho,hata kipofu anaguswa na kazi za mh rais, Kila utakako kwenda unakuta mh Rais ameweka mkono wake ,unakuta mh Rais amewekeza pesa kuwawezesha watanzania kupata huduma karibu yao,unakuta mh Rais amegusa maisha ya watanzania,unakuta mh Rais ameleta Tavasamua ndani ya Mioyo ya watanzania kwa kuwasaidia Kama alivyofanya kwa wakulima kwa kutoa mabillioni ya Ruzuku na kupelekea kushuka kwa Bei ya mbolea sokoniUnampaka mama mafuta kwa mgongo wa chupa
Mwl. Nyerere aliitwa Baba wa Taifa kwasababu aliiongoza Tanganyika kupata Uhuru na baadae kuiunganisha Tanganyika na Zanzibar kupata Tanzania. George Washington aliyaongoza majimbo 13 ya mwanzo kutengeneza United States of America ma ndio maana anaitwa Baba wa Taifa la Marekani. Chairman Mao aliianzisha The Today China!Ndugu zangu watanzania,
Nashindwa nianze na lipi juu ya kumuongelea Rais huyu shupavu, Hodari, Mahiri, mnyenyekevu,mwenye moyo wa upendo,huruma na ukarimu, Msikivu na mwenye Subira, madhubuti na Imara, mwenye msimamo na asiye yumba, mwenye Dira na muelekeo sahihi, mwenye Sera na ajenda za kugusa maisha ya watanzania, Aliyejitoa na kujitolea kuwatumikia watanzania wote, Mwenye upendo wa dhati na watanzania na Taifa lake na anayetumia muda wake mwingi kuzungumza na kuwatumikia watanzania.
Ni kiongozi wa aina yake na mfano wa kuigwa Barani Afrika, Ni Hazina kwa Taifa letu, Ni msingi wa amani na umoja wa Taifa letu, Ni nguzo ya umoja wa kitaifa na mshikamano wetu,Ni mwamba usio tikisika na ngome iliyo imara,Ni Rais kweli kweli aliye jaliwa kalama ya uongozi na Mwenyezi MUNGU,Ni kiongozi mwenye hofu ya Mwenyezi MUNGU ,mwenye kuhubiri na kutenda haki kwa matendo.
Ni kiongozi anayetazamwa na watu wa vyama vyote,Dini zote,makabila yote,jinsia zote,Rangi zote,Rika zote na Kanda zote Kama kiongozi wao na mlezi wao,Kila mmoja anampenda na kumheshimu Rais Samia,kila mmoja anamuunga mkono na kusimama Naye katika nyakati zote, Rais Samia Ni kiongozi aliyeteka mioyo ya watanzania wote, Nikiongozi aliye na uungwaji mkono kutoka katika makundi yote.
Hii inatokana na ukweli kuwa Rais Samia amekuwa akiwasikiliza na kumsikiliza kila mtu,Sauti zote za watanzania na mtu mmoja mmoja Zina nafasi katika masikio ya Rais Samia na macho yake, kila mtu Anayo nafasi katika ujenzi wa Taifa letu na kila mmoja anajiona Anayo nafasi katika ustawi wa Taifa letu kwa kuwa Rais Samia ametoa nafasi hiyo kwa kila mmoja wetu mwenye uzalendo na Taifa letu kutoa mchango wake katika ujenzi wa Taifa letu.
Hatua ya Leo ya kuruhusu mikutano ya vyama vya siasa inatokana na dhamira yake njema katika ujenzi wa Taifa letu na kutambua mchango wa kila mmoja wetu kuijenga nchi yetu pamoja na kutaka kuona Taifa letu likiwa moja na kusonga mbele kwa pamoja bila kujari itikadi zetu za kisiasa, Rais Samia anahitaji kuona mafanikio tunayoyapata kiuchumi yanakuwa yetu sote na sote tujione kuwa sehemu ya mafanikio hayo na kuwa na mchango wetu katika kuyafikia.
Hataki kumuucha mtu nyuma Wala kumpuuza mtu au watu Wala kuzima sauti za watu fulani,anataka kusikia sauti za watu wote na maoni yao ili watu wawe na amani katika mioyo Yao, Hataki watu wajaze hasira na chuki katika mioyo Yao, Hataki watu wavimbe vifua vyao kwa vinyongo Bali anataka wazungunze kwa heshima, staha, uungwana, busara, upendo,uzalendo wa yale yaliyo ndani Yao na wanayofikiri kuwa yanaweza kuwa na mchango katika kulisukuma mbele gurudumu la maendeleo ya Taifa letu.
Ndio maana nasema kwa namna Rais Samia anavyokubalika na watu wote wa makabila yote,wa vyama vyote,Dini zote,Rika zote ,jinsia zote, makabila yote, hakika Anastahili kuitwa mama Wa Taifa letu. Anastahili na sioni Cha kuwa kikwazo ambacho unaweza kusema hiki kinamnyima fursa hiyo. Anastahili kwa kuwa ameonyesha uzalendo alio nao ndani ya moyo wake ambao muda wote amaelitaguliza mbele Taifa letu.
Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu. 0742-676627
Hawa ndio Chawa aliosema Mama.Unampaka mama mafuta kwa mgongo wa chupa
Hilo halina mpinzani Rais Samia Suluhu anaupiga mwingi kila sekta ila hili la leo ametuletea watanzania matumaini mapya kweli Tanzania ni salama na SamiaNdugu zangu watanzania,

Ameliongoza Taifa kujenga umoja wa kitaifa na kuliunganisha Taifa mpaka kufikia hatua ya kuzungumza lugha moja pasipo kujari itikadi za kisiasa au Dini au kabilaMwl. Nyerere aliitwa Baba wa Taifa kwasababu aliiongoza Tanganyika kupata Uhuru na baadae kuiunganisha Tanganyika na Zanzibar kupata Tanzania. George Washington aliyaongoza majimbo 13 ya mwanzo kutengeneza United States of America ma ndio maana anaitwa Baba wa Taifa la Marekani. Chairman Mao aliianzisha The Today China!
Mama "yako" unataka aitwe Mama wa Taifa kwa lipi?
Rais Samia ni kioo Cha Taifa na mfano wa kuigwa Barani AfrikaUmerogwa wewe. Uzuri naskia huko kwenye hotuba yake bi chau kakiri kuwa na machawa wake, kina nyie
😂Chawa unazingua
😂Uchawa unakusaidia nini? Wacha nature ifanye kazi yake
Ahahahahah!Ameliongoza Taifa kujenga umoja wa kitaifa na kuliunganisha Taifa mpaka kufikia hatua ya kuzungumza lugha moja pasipo kujari itikadi za kisiasa au Dini au kabila
Hakika Anastahili kiukweli pasipo kipingamizi Cha aina yoyote Ile kutoka kwa yeyote yuleHuyu mama wa taifa kitambo,ni mtulivu hekima na busara sana
Utopolo mtupu na kujikomba. Mama wa taifa ni Afrika.Ndugu zangu watanzania,
Nashindwa nianze na lipi juu ya kumuongelea Rais huyu shupavu, Hodari, Mahiri, mnyenyekevu,mwenye moyo wa upendo,huruma na ukarimu, Msikivu na mwenye Subira, madhubuti na Imara, mwenye msimamo na asiye yumba, mwenye Dira na muelekeo sahihi, mwenye Sera na ajenda za kugusa maisha ya watanzania, Aliyejitoa na kujitolea kuwatumikia watanzania wote, Mwenye upendo wa dhati na watanzania na Taifa lake na anayetumia muda wake mwingi kuzungumza na kuwatumikia watanzania.
Ni kiongozi wa aina yake na mfano wa kuigwa Barani Afrika, Ni Hazina kwa Taifa letu, Ni msingi wa amani na umoja wa Taifa letu, Ni nguzo ya umoja wa kitaifa na mshikamano wetu,Ni mwamba usio tikisika na ngome iliyo imara,Ni Rais kweli kweli aliye jaliwa kalama ya uongozi na Mwenyezi MUNGU,Ni kiongozi mwenye hofu ya Mwenyezi MUNGU ,mwenye kuhubiri na kutenda haki kwa matendo.
Ni kiongozi anayetazamwa na watu wa vyama vyote,Dini zote,makabila yote,jinsia zote,Rangi zote,Rika zote na Kanda zote Kama kiongozi wao na mlezi wao,Kila mmoja anampenda na kumheshimu Rais Samia,kila mmoja anamuunga mkono na kusimama Naye katika nyakati zote, Rais Samia Ni kiongozi aliyeteka mioyo ya watanzania wote, Nikiongozi aliye na uungwaji mkono kutoka katika makundi yote.
Hii inatokana na ukweli kuwa Rais Samia amekuwa akiwasikiliza na kumsikiliza kila mtu,Sauti zote za watanzania na mtu mmoja mmoja Zina nafasi katika masikio ya Rais Samia na macho yake, kila mtu Anayo nafasi katika ujenzi wa Taifa letu na kila mmoja anajiona Anayo nafasi katika ustawi wa Taifa letu kwa kuwa Rais Samia ametoa nafasi hiyo kwa kila mmoja wetu mwenye uzalendo na Taifa letu kutoa mchango wake katika ujenzi wa Taifa letu.
Hatua ya Leo ya kuruhusu mikutano ya vyama vya siasa inatokana na dhamira yake njema katika ujenzi wa Taifa letu na kutambua mchango wa kila mmoja wetu kuijenga nchi yetu pamoja na kutaka kuona Taifa letu likiwa moja na kusonga mbele kwa pamoja bila kujari itikadi zetu za kisiasa, Rais Samia anahitaji kuona mafanikio tunayoyapata kiuchumi yanakuwa yetu sote na sote tujione kuwa sehemu ya mafanikio hayo na kuwa na mchango wetu katika kuyafikia.
Hataki kumuucha mtu nyuma Wala kumpuuza mtu au watu Wala kuzima sauti za watu fulani,anataka kusikia sauti za watu wote na maoni yao ili watu wawe na amani katika mioyo Yao, Hataki watu wajaze hasira na chuki katika mioyo Yao, Hataki watu wavimbe vifua vyao kwa vinyongo Bali anataka wazungunze kwa heshima, staha, uungwana, busara, upendo,uzalendo wa yale yaliyo ndani Yao na wanayofikiri kuwa yanaweza kuwa na mchango katika kulisukuma mbele gurudumu la maendeleo ya Taifa letu.
Ndio maana nasema kwa namna Rais Samia anavyokubalika na watu wote wa makabila yote,wa vyama vyote,Dini zote,Rika zote ,jinsia zote, makabila yote, hakika Anastahili kuitwa mama Wa Taifa letu. Anastahili na sioni Cha kuwa kikwazo ambacho unaweza kusema hiki kinamnyima fursa hiyo. Anastahili kwa kuwa ameonyesha uzalendo alio nao ndani ya moyo wake ambao muda wote amaelitaguliza mbele Taifa letu.
Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu. 0742-676627
Rais wetu mpendwa Ni mama Wa Taifa kwa namna alivyochapa kazi ndani ya muda mfupiUtopolo mtupu na kujikomba. Mama wa taifa ni Afrika.
Huna hoja zaidi ya kujikomba. Au wewe ni Yusuf Makamba au Kinana? Kama una uhaba wa mama si Mama Maria yupo? Au hujui historia ya taifa lakoRais wetu mpendwa Ni mama Wa Taifa kwa namna alivyochapa kazi ndani ya muda mfupi
Mimi sijikombi Bali naeleza ukweli ambao kwa Sasa watanzania Wana uona na kukubali kuwa Rais Samia amefanya kazi ambayo kila mtu anashangaa namna alivyo tekeleza miradi mikubwa ndani ya muda mfupiHuna hoja zaidi ya kujikomba. Au wewe ni Yusuf Makamba au Kinana? Kama una uhaba wa mama si Mama Maria yupo? Au hujui historia ya taifa lako
Rubbish. Bibi PhD hataki chawa.Ndugu zangu watanzania,
Nashindwa nianze na lipi juu ya kumuongelea Rais huyu shupavu, Hodari, Mahiri, mnyenyekevu,mwenye moyo wa upendo,huruma na ukarimu, Msikivu na mwenye Subira, madhubuti na Imara, mwenye msimamo na asiye yumba, mwenye Dira na muelekeo sahihi, mwenye Sera na ajenda za kugusa maisha ya watanzania, Aliyejitoa na kujitolea kuwatumikia watanzania wote, Mwenye upendo wa dhati na watanzania na Taifa lake na anayetumia muda wake mwingi kuzungumza na kuwatumikia watanzania.
Ni kiongozi wa aina yake na mfano wa kuigwa Barani Afrika, Ni Hazina kwa Taifa letu, Ni msingi wa amani na umoja wa Taifa letu, Ni nguzo ya umoja wa kitaifa na mshikamano wetu,Ni mwamba usio tikisika na ngome iliyo imara,Ni Rais kweli kweli aliye jaliwa kalama ya uongozi na Mwenyezi MUNGU,Ni kiongozi mwenye hofu ya Mwenyezi MUNGU ,mwenye kuhubiri na kutenda haki kwa matendo.
Ni kiongozi anayetazamwa na watu wa vyama vyote,Dini zote,makabila yote,jinsia zote,Rangi zote,Rika zote na Kanda zote Kama kiongozi wao na mlezi wao,Kila mmoja anampenda na kumheshimu Rais Samia,kila mmoja anamuunga mkono na kusimama Naye katika nyakati zote, Rais Samia Ni kiongozi aliyeteka mioyo ya watanzania wote, Nikiongozi aliye na uungwaji mkono kutoka katika makundi yote.
Hii inatokana na ukweli kuwa Rais Samia amekuwa akiwasikiliza na kumsikiliza kila mtu,Sauti zote za watanzania na mtu mmoja mmoja Zina nafasi katika masikio ya Rais Samia na macho yake, kila mtu Anayo nafasi katika ujenzi wa Taifa letu na kila mmoja anajiona Anayo nafasi katika ustawi wa Taifa letu kwa kuwa Rais Samia ametoa nafasi hiyo kwa kila mmoja wetu mwenye uzalendo na Taifa letu kutoa mchango wake katika ujenzi wa Taifa letu.
Hatua ya Leo ya kuruhusu mikutano ya vyama vya siasa inatokana na dhamira yake njema katika ujenzi wa Taifa letu na kutambua mchango wa kila mmoja wetu kuijenga nchi yetu pamoja na kutaka kuona Taifa letu likiwa moja na kusonga mbele kwa pamoja bila kujari itikadi zetu za kisiasa, Rais Samia anahitaji kuona mafanikio tunayoyapata kiuchumi yanakuwa yetu sote na sote tujione kuwa sehemu ya mafanikio hayo na kuwa na mchango wetu katika kuyafikia.
Hataki kumuucha mtu nyuma Wala kumpuuza mtu au watu Wala kuzima sauti za watu fulani,anataka kusikia sauti za watu wote na maoni yao ili watu wawe na amani katika mioyo Yao, Hataki watu wajaze hasira na chuki katika mioyo Yao, Hataki watu wavimbe vifua vyao kwa vinyongo Bali anataka wazungunze kwa heshima, staha, uungwana, busara, upendo,uzalendo wa yale yaliyo ndani Yao na wanayofikiri kuwa yanaweza kuwa na mchango katika kulisukuma mbele gurudumu la maendeleo ya Taifa letu.
Ndio maana nasema kwa namna Rais Samia anavyokubalika na watu wote wa makabila yote,wa vyama vyote,Dini zote,Rika zote ,jinsia zote, makabila yote, hakika Anastahili kuitwa mama Wa Taifa letu. Anastahili na sioni Cha kuwa kikwazo ambacho unaweza kusema hiki kinamnyima fursa hiyo. Anastahili kwa kuwa ameonyesha uzalendo alio nao ndani ya moyo wake ambao muda wote amaelitaguliza mbele Taifa letu.
Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu. 0742-676627
Mimi Ni mkulima na kilimo ndio kinachonifanya niishi kwa kujipatia chakulaNjaa mbaya sana...