Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Kazi kubwa aliyoifanya mh Rais Anastahili pongezi,Ndio maana kwa Sasa Kuna nchi zinatamani angekuwa Rais wao ili wafaidike na upeo wake mkubwa na maono yakeMnamjaza misifa mpaka anaona aibu huyo mama yenu.
Tuliza akili na uangalie ulichoandika,Nakuonea huruma maana inaonekana una shida kichwaniHuyu anapaswa kufikishwa mahakamani na kuhukumiwa ikibidi kunyongwa kwa mateso anayowapatia watanzania.
Sawa lakini ingekuwa vyema Kama wewe mwenye Akili ukajibu na kuandika hojahuna akili mkuu
Umeelewa nilichongea siongelei ruzuku sawa yaweza kuwa imetolewa whatever hiyo ni kwa upande wa serikaliMama yetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani Hana Deni kwetu wakulima tunalomdai mpaka muda huu maana kazi aliyotufanyia ninkubwa ambayo imeachwa Alama ya furaha katika mioyo yetu,Utolewaji wa Ruzuku ya Billion Mia moja hamsini katika mbolea ilipelekea Bei ya mbolea sokoni kushuka Bei,mfano mbolea ya DAP msimu uliopita ilikuwa inauzwa shillingi laki moja na 40 lakini msimu huu inapatikana kwa Elfu 70 tu,Hatua hiyo ilileta shangwe Nderemo na Vifijo kwetu wakulima na kumshukuru Sana Rais wetu kwa kutujali wakulima.
Ukija suala la Bei ya mazao yetu nalo lilikuwa Ni zuri Sana msimu uliopita Tena tangia wakati wa mavuno mkulima alipata Bei ya mazao yake kwa Bei nzuri na hivyo kumfanya kufaidika na jasho lake,Tofauti na miaka mingine ambapo walio kimvulini ndio walifaidika na jasho la mkulima na kumuacha mkulima akiwa mbavu tupu kwa kukondeshwa na jembe analolibeba mabegani muda wote huku akinyeshewa na mvua nakupigwa jua