Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Huyo ni mama yako?Serikali ya mama yetu mpendwa mama Samia
Huna hata aibu 😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni mama yako?Serikali ya mama yetu mpendwa mama Samia
Mbona ni Kama umepaniki na kujaa hasira kifua chakoHuyo ni mama yako?
Huna hata aibu 😁😁
Bei ya mbolea na Pembejeo vipi iko rafiki kwa wakulima? Huko uliko mkukima wewe?Mimi Ni mkulima na kilimo ndio kinachonifanya niishi kwa kujipatia chakula
Sijapaniki bali nimeuliza ikiwa huyo ni mama yako, naomba majibu tafadhaliMbona ni Kama umepaniki na kujaa hasira kifua chako
Ndugu zangu watanzania,
Nashindwa nianze na lipi juu ya kumuongelea Rais huyu shupavu, Hodari, Mahiri, mnyenyekevu,mwenye moyo wa upendo,huruma na ukarimu, Msikivu na mwenye Subira, madhubuti na Imara, mwenye msimamo na asiye yumba, mwenye Dira na muelekeo sahihi, mwenye Sera na ajenda za kugusa maisha ya watanzania, Aliyejitoa na kujitolea kuwatumikia watanzania wote, Mwenye upendo wa dhati na watanzania na Taifa lake na anayetumia muda wake mwingi kuzungumza na kuwatumikia watanzania.
Ni kiongozi wa aina yake na mfano wa kuigwa Barani Afrika, Ni Hazina kwa Taifa letu, Ni msingi wa amani na umoja wa Taifa letu, Ni nguzo ya umoja wa kitaifa na mshikamano wetu,Ni mwamba usio tikisika na ngome iliyo imara,Ni Rais kweli kweli aliye jaliwa kalama ya uongozi na Mwenyezi MUNGU,Ni kiongozi mwenye hofu ya Mwenyezi MUNGU ,mwenye kuhubiri na kutenda haki kwa matendo.
Ni kiongozi anayetazamwa na watu wa vyama vyote,Dini zote,makabila yote,jinsia zote,Rangi zote,Rika zote na Kanda zote Kama kiongozi wao na mlezi wao,Kila mmoja anampenda na kumheshimu Rais Samia,kila mmoja anamuunga mkono na kusimama Naye katika nyakati zote, Rais Samia Ni kiongozi aliyeteka mioyo ya watanzania wote, Nikiongozi aliye na uungwaji mkono kutoka katika makundi yote.
Hii inatokana na ukweli kuwa Rais Samia amekuwa akiwasikiliza na kumsikiliza kila mtu,Sauti zote za watanzania na mtu mmoja mmoja Zina nafasi katika masikio ya Rais Samia na macho yake, kila mtu Anayo nafasi katika ujenzi wa Taifa letu na kila mmoja anajiona Anayo nafasi katika ustawi wa Taifa letu kwa kuwa Rais Samia ametoa nafasi hiyo kwa kila mmoja wetu mwenye uzalendo na Taifa letu kutoa mchango wake katika ujenzi wa Taifa letu.
Hatua ya Leo ya kuruhusu mikutano ya vyama vya siasa inatokana na dhamira yake njema katika ujenzi wa Taifa letu na kutambua mchango wa kila mmoja wetu kuijenga nchi yetu pamoja na kutaka kuona Taifa letu likiwa moja na kusonga mbele kwa pamoja bila kujari itikadi zetu za kisiasa, Rais Samia anahitaji kuona mafanikio tunayoyapata kiuchumi yanakuwa yetu sote na sote tujione kuwa sehemu ya mafanikio hayo na kuwa na mchango wetu katika kuyafikia.
Hataki kumuucha mtu nyuma Wala kumpuuza mtu au watu Wala kuzima sauti za watu fulani,anataka kusikia sauti za watu wote na maoni yao ili watu wawe na amani katika mioyo Yao, Hataki watu wajaze hasira na chuki katika mioyo Yao, Hataki watu wavimbe vifua vyao kwa vinyongo Bali anataka wazungunze kwa heshima, staha, uungwana, busara, upendo,uzalendo wa yale yaliyo ndani Yao na wanayofikiri kuwa yanaweza kuwa na mchango katika kulisukuma mbele gurudumu la maendeleo ya Taifa letu.
Ndio maana nasema kwa namna Rais Samia anavyokubalika na watu wote wa makabila yote,wa vyama vyote,Dini zote,Rika zote ,jinsia zote, makabila yote, hakika Anastahili kuitwa mama Wa Taifa letu. Anastahili na sioni Cha kuwa kikwazo ambacho unaweza kusema hiki kinamnyima fursa hiyo. Anastahili kwa kuwa ameonyesha uzalendo alio nao ndani ya moyo wake ambao muda wote amaelitaguliza mbele Taifa letu.
Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu. 0742-676627
Mama yetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani Hana Deni kwetu wakulima tunalomdai mpaka muda huu maana kazi aliyotufanyia ninkubwa ambayo imeachwa Alama ya furaha katika mioyo yetu,Utolewaji wa Ruzuku ya Billion Mia moja hamsini katika mbolea ilipelekea Bei ya mbolea sokoni kushuka Bei,mfano mbolea ya DAP msimu uliopita ilikuwa inauzwa shillingi laki moja na 40 lakini msimu huu inapatikana kwa Elfu 70 tu,Hatua hiyo ilileta shangwe Nderemo na Vifijo kwetu wakulima na kumshukuru Sana Rais wetu kwa kutujali wakulima.Bei ya mbolea na Pembejeo vipi iko rafiki kwa wakulima? Huko uliko mkukima wewe?
Na bei ya mazao yao huko uliko vipi iko rafiki kwa wakulima? Ukiwemo wewe?
Soko la mazao yao wakulima wenzio huko uliko liko vizuri kwa wakulima huko uliko wewe ukiwa mkulima?
Kaimu Rais ndio Nani huyoKwani wakati mikutano inazuiliwa Nani alikuwa kaimu Rais.?
Mjinga sana weweLucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu. 0742-676627
Ndio ni mama yangu na Rais wangu kwa kuwa umri wake Ni sawa na wa mama yangu. Hata mama yako Kama umri wake unaelekeana na wa mama yangu Naye pia nitamwita MAMA.Hiyi ndio heshima ya kiafrika kwa mtu aliyepata malezi Bora ya wazazi wake na aliyekuwa katika maadili mazuri yasiyo ya kihuni kihuniSijapaniki bali nimeuliza ikiwa huyo ni mama yako, naomba majibu tafadhali
Nashukuru mkuuMjinga sana wewe
Kaimu Rais ndio Nani huyo
Rais wetu alaumiwe na kukosolewa kwa Yale yote yanayotendeka na kufanyika katika uongozi wake akiwa Rais wetu na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama,Asibebeshwe lawama zisizo mhusuMakamu wa Rais
Ndugu zangu watanzania,
Nashindwa nianze na lipi juu ya kumuongelea Rais huyu shupavu, Hodari, Mahiri, mnyenyekevu,mwenye moyo wa upendo,huruma na ukarimu, Msikivu na mwenye Subira, madhubuti na Imara, mwenye msimamo na asiye yumba, mwenye Dira na muelekeo sahihi, mwenye Sera na ajenda za kugusa maisha ya watanzania, Aliyejitoa na kujitolea kuwatumikia watanzania wote, Mwenye upendo wa dhati na watanzania na Taifa lake na anayetumia muda wake mwingi kuzungumza na kuwatumikia watanzania.
Ni kiongozi wa aina yake na mfano wa kuigwa Barani Afrika, Ni Hazina kwa Taifa letu, Ni msingi wa amani na umoja wa Taifa letu, Ni nguzo ya umoja wa kitaifa na mshikamano wetu,Ni mwamba usio tikisika na ngome iliyo imara,Ni Rais kweli kweli aliye jaliwa kalama ya uongozi na Mwenyezi MUNGU,Ni kiongozi mwenye hofu ya Mwenyezi MUNGU ,mwenye kuhubiri na kutenda haki kwa matendo.
Ni kiongozi anayetazamwa na watu wa vyama vyote,Dini zote,makabila yote,jinsia zote,Rangi zote,Rika zote na Kanda zote Kama kiongozi wao na mlezi wao,Kila mmoja anampenda na kumheshimu Rais Samia,kila mmoja anamuunga mkono na kusimama Naye katika nyakati zote, Rais Samia Ni kiongozi aliyeteka mioyo ya watanzania wote, Nikiongozi aliye na uungwaji mkono kutoka katika makundi yote.
Hii inatokana na ukweli kuwa Rais Samia amekuwa akiwasikiliza na kumsikiliza kila mtu,Sauti zote za watanzania na mtu mmoja mmoja Zina nafasi katika masikio ya Rais Samia na macho yake, kila mtu Anayo nafasi katika ujenzi wa Taifa letu na kila mmoja anajiona Anayo nafasi katika ustawi wa Taifa letu kwa kuwa Rais Samia ametoa nafasi hiyo kwa kila mmoja wetu mwenye uzalendo na Taifa letu kutoa mchango wake katika ujenzi wa Taifa letu.
Hatua ya Leo ya kuruhusu mikutano ya vyama vya siasa inatokana na dhamira yake njema katika ujenzi wa Taifa letu na kutambua mchango wa kila mmoja wetu kuijenga nchi yetu pamoja na kutaka kuona Taifa letu likiwa moja na kusonga mbele kwa pamoja bila kujari itikadi zetu za kisiasa, Rais Samia anahitaji kuona mafanikio tunayoyapata kiuchumi yanakuwa yetu sote na sote tujione kuwa sehemu ya mafanikio hayo na kuwa na mchango wetu katika kuyafikia.
Hataki kumuucha mtu nyuma Wala kumpuuza mtu au watu Wala kuzima sauti za watu fulani,anataka kusikia sauti za watu wote na maoni yao ili watu wawe na amani katika mioyo Yao, Hataki watu wajaze hasira na chuki katika mioyo Yao, Hataki watu wavimbe vifua vyao kwa vinyongo Bali anataka wazungunze kwa heshima, staha, uungwana, busara, upendo,uzalendo wa yale yaliyo ndani Yao na wanayofikiri kuwa yanaweza kuwa na mchango katika kulisukuma mbele gurudumu la maendeleo ya Taifa letu.
Ndio maana nasema kwa namna Rais Samia anavyokubalika na watu wote wa makabila yote,wa vyama vyote,Dini zote,Rika zote ,jinsia zote, makabila yote, hakika Anastahili kuitwa mama Wa Taifa letu. Anastahili na sioni Cha kuwa kikwazo ambacho unaweza kusema hiki kinamnyima fursa hiyo. Anastahili kwa kuwa ameonyesha uzalendo alio nao ndani ya moyo wake ambao muda wote amaelitaguliza mbele Taifa letu.
Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu. 0742-676627
How old are you?Ndio ni mama yangu na Rais wangu kwa kuwa umri wake Ni sawa na wa mama yangu. Hata mama yako Kama umri wake unaelekeana na wa mama yangu Naye pia nitamwita MAMA.Hiyi ndio heshima ya kiafrika kwa mtu aliyepata malezi Bora ya wazazi wake na aliyekuwa katika maadili mazuri yasiyo ya kihuni kihuni
Kwani ni kituo Cha chanjo za watoto hapa Hadi Tuanze kuulizana habari za miakaHow old are you?
Rais wetu alaumiwe na kukosolewa kwa Yale yote yanayotendeka na kufanyika katika uongozi wake akiwa Rais wetu na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama,Asibebeshwe lawama zisizo mhusu
Mambo ya kitoto peleka kwa mama na watoto wenzio.Kwani ni kituo Cha chanjo za watoto hapa Hadi Tuanze kuulizana habari za miaka
Huhitaji kunishukuruNashukuru mkuu