Rais Samia aitwe na kutambuliwa kama Mama wa Taifa

Nchi hii mnaivuluga!!
Yaani Samia ni wakuiongoza hii nchi?? Unakuja na hoja za walamba asali kina Makamba + kikwete
 
Nchi hii mnaivuluga!!
Yaani Samia ni wakuiongoza hii nchi?? Unakuja na hoja za walamba asali kina Makamba + kikwete
Kwa Sasa kila nchi katika Bara la Afrika inatamani Rais Samia angekuwa Rais wao Ila kwa bahati Nzuri mama Samia alizaliwa Tanzania Ni hivyo kuwa zawadi kwetu watanzania
 
Umataga-mataga mwishoni utataga.

Samahani kwa usumbufu chief, Umesahau kuweka picha yako.
 
Umataga-mataga mwishoni utataga.

Samahani kwa usumbufu chief, Umesahau kuweka picha yako.
Mmesharuhisiwa kufanya mikutano ya hadhara kwa Sasa ,Ndio mjuwa namna mama alivyo na moyo wa upendo kwa watanzania,Ndio sababu watanzania wanamtaja mama Samia Kuendelea kuwatumikia mpaka 2030
 
Mmesharuhisiwa kufanya mikutano ya hadhara kwa Sasa ,Ndio mjuwa namna mama alivyo na moyo wa upendo kwa watanzania,Ndio sababu watanzania wanamtaja mama Samia Kuendelea kuwatumikia mpaka 2030
Waliofungia mikutano ni CCM
Walioruhusu mikutano ni CCM

Mwizi akirudisha mali aliyoiba hapongezwi bali anawajibishwa.
 
Waliofungia mikutano ni CCM
Walioruhusu mikutano ni CCM

Mwizi akirudisha mali aliyoiba hapongezwi bali anawajibishwa.
Na mtaishia kuwa vituko tu majukwaani maana hamna Cha kuwaeleza watanzania mkaeleweka kwa kuwa kazi zote mama ameshafanya
 
Kwa Sasa kila nchi katika Bara la Afrika inatamani Rais Samia angekuwa Rais wao Ila kwa bahati Nzuri mama Samia alizaliwa Tanzania Ni hivyo kuwa zawadi kwetu watanzania
Umetumwa nini?? Kwa kukopa kopa na kuomba imba na kutishia watu wasihoji kuhusu Serikali kuendeshwa na mikopo???
Huyu mama ataiacha TZ pabaya sana!
Kama wewe ni mtoto wa walamba asali, ukoo wa Kinan, kiwet, Makamb, uko sahihi
 
Nyota njema HUONEKANA ASUBUHI

Hilo litategemea na kazi na tija atakayoleta kwenye Taifa hili.

Ngoja tuone.

Tuone swala la Katiba kuandikwa, Tume huru ya uchunguzi, kukamilika kwa miradi ya umeme , Rail , barabara, maji n.k.
 
Hilo litategemea na kazi na tija atakayoleta kwenye Taifa hili.

Ngoja tuone.

Tuone swala la Katiba kuandikwa, Tume huru ya uchunguzi, kukamilika kwa miradi ya umeme , Rail , barabara, maji n.k.
Hayo yote yatafanyika kwa kadri Hali utakavyokuwa inakwenda,mazungumzo yenye Afya yatakuwa yanafanyika Kama alivyosema mh Rais wetu
 
Chawa
 
Umekula umevimbewa huna lolote, kwani sasa hivi aitwi mama? Umepewa nini hicho kinacho kufanya usahau maisha magumu raia wanayoyapitia? Ukasahau kodi za ajabu ajabu? Nyinyi mkishashiba ni kubwaga humu shibe zenu?😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏
 
Nitajie nchi ambazo hakuna Kodi na hawatozi Kodi na wamepiga hatua za kimaendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…