Rais Samia akataa mwananchi kueleza shida kwenye mkutano, amtaka amfikishie kupitia mbunge

Tundu Lisu husikiliza tofauti na yule Mwamba wa Chopa!
Huyo ana muda mwingi sana wa kutangatanga na kufanya mikutano ya kijiji kwa kijiji, baadaye anaenda Ubelgiji au Marekani kupumzika miezi miwili au mitatu na familia yake ambao ni raia wa huko... Huwezi kumlinganisha na Rais mwenye ratiba ngumu
 
Wewe huutamani uraia wa Marekani?
 
Ni kweli Rais hawezi kusikiliza kero za mwananchi mmoja mmoja, itakuwa jau sana .... mwingine kapigwa na mumewe anataka kesi apeleke kwa Rais, tutamaliza saa ngapi?
Ndio ila kama raisi anatakiwa kuwapa nafasi ya kuwasikiliza. Wakati mwingine ni lazima uoneshe unajali. Hiyo ni elitism ndo anayotuonesha. Sio kila mbunge ana access na raisi wa nchi.
 
Hapana, Rais anatakiwa ashughulike na mambo ya kitaifa. Huyo raia unaweza kukuta analalamikia kesi ya mirathi ya familia yao au kucheleweshwa mshahara kazini kwake.
Hizi itifaki zinamfanya rais asijue kinachoendelea on the ground... viongozi hawawezi kumfikishia vitu negative mara moja moja sio mbaya kusikiliza raia ....
 
Rais Samia leo September akiwa Nangurukuru mkoani Mtwara alisimamisha msafara wake kuongea na wananchi wa eneo hilo. Moja wananchi hao aliomba kuongea jambo ambapo Rais alimwambia mambo ni mengi na Tanzania ni kubwa.

Rais Samia alimtaka mwananchi huyo ampatie jambo lake mbunge kisha amfikishie Rais au wasaidizi wake.

Mwaka 2017 Rais Magufuli akiwa anaelekea Mtwara alisimamishwa Somanga na mwananchi aliyeelezea changamoto ya zahanati katika eneo hilo kutokamilika kwa miaka mingi. Rais Magufuli alichangia na kuamrisha ikamilike.

Alipopita tena barabara hiyo miaka 3 baadae mwananchi huyo alimzawadia jogoo na Magufuli alimsubiri mpaka alipomkamatia na kumpa. Alipofariki, mwananchi huyo alifunga safari kumzika Rais Magufuli mwaka 2021.

Sasa Changamoto ya Zahanati si ndio mambo ya mbunge?

Sio kazi ya Rais kutatua Changamoto za mtu mmja mmja
 
Huyo ana muda mwingi sana wa kutangatanga na kufanya mikutano ya kijiji kwa kijiji, baadaye anaenda Ubelgiji au Marekani kupumzika miezi miwili au mitatu na familia yake ambao ni raia wa huko... Huwezi kumlinganisha na Rais mwenye ratiba ngumu
huwa anapeleka report kwa kocha wake mkuu halafu tena anafundishwa staili nyingine ya kuja nayo awamu nyingine ikiwa staili ya ilopita haijamfurahisha kocha
 
Rais Samia leo September akiwa Nangurukuru mkoani Mtwara alisimamisha msafara wake kuongea na wananchi wa eneo hilo. Moja wananchi hao aliomba kuongea jambo ambapo Rais alimwambia mambo ni mengi na Tanzania ni kubwa.

Rais Samia alimtaka mwananchi huyo ampatie jambo lake mbunge kisha amfikishie Rais au wasaidizi wake.

Mwaka 2017 Rais Magufuli akiwa anaelekea Mtwara alisimamishwa Somanga na mwananchi aliyeelezea changamoto ya zahanati katika eneo hilo kutokamilika kwa miaka mingi. Rais Magufuli alichangia na kuamrisha ikamilike.

Alipopita tena barabara hiyo miaka 3 baadae mwananchi huyo alimzawadia jogoo na Magufuli alimsubiri mpaka alipomkamatia na kumpa. Alipofariki, mwananchi huyo alifunga safari kumzika Rais Magufuli mwaka 2021.

Nini Sasa hichi ?!!!

Yaani kila anayejisikia kumsimamisha Rais anafanya na asikilizwe?!!![emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787]

Mbona mh.Rais huwa anawasikiliza watu ?!!

Mbunge atamfikishia kero ya huyo mtanzania mwenzangu [emoji120]
 
Rais Samia leo September akiwa Nangurukuru mkoani Mtwara alisimamisha msafara wake kuongea na wananchi wa eneo hilo. Moja wananchi hao aliomba kuongea jambo ambapo Rais alimwambia mambo ni mengi na Tanzania ni kubwa.

Rais Samia alimtaka mwananchi huyo ampatie jambo lake mbunge kisha amfikishie Rais au wasaidizi wake.

Mwaka 2017 Rais Magufuli akiwa anaelekea Mtwara alisimamishwa Somanga na mwananchi aliyeelezea changamoto ya zahanati katika eneo hilo kutokamilika kwa miaka mingi. Rais Magufuli alichangia na kuamrisha ikamilike.

Alipopita tena barabara hiyo miaka 3 baadae mwananchi huyo alimzawadia jogoo na Magufuli alimsubiri mpaka alipomkamatia na kumpa. Alipofariki, mwananchi huyo alifunga safari kumzika Rais Magufuli mwaka 2021.

Wasimsumbue rais wetu, kwanza hawakumchagua🤣🤣🤣
 
Tatizo ni wasaidizi wa rais. Inakuwaje hawajutafuta hizo info mapema. Clip kama hizi zitammaliza rais Dkt Samia 2025. Maana kauli ka hiyo inaonesha ukaidi. Jamani hakika Dkt Samia anahujumiwa.
 
Ni kweli Rais hawezi kusikiliza kero za mwananchi mmoja mmoja, itakuwa jau sana .... mwingine kapigwa na mumewe anataka kesi apeleke kwa Rais, tutamaliza saa ngapi?
Chawa ni JOKA lililo mdanganya hawa bustanini
 
Back
Top Bottom