Rais Samia akataa mwananchi kueleza shida kwenye mkutano, amtaka amfikishie kupitia mbunge

Rais Samia akataa mwananchi kueleza shida kwenye mkutano, amtaka amfikishie kupitia mbunge

Rais inatakiwa aweke mifumo na sera bora za kutatua matatizo ya watu, sio hata kuelekeza kutokea majukwaani.
Kuelekeza utekelezaji wa kilichopo kwenye sera na mifumo kunaleta uwazi na uwajibikaji badala ya kujiingiza kutatua shida Moja tena hadharani kwa vitisho na kejeli!
 
huwa anapeleka report kwa kocha wake mkuu halafu tena anafundishwa staili nyingine ya kuja nayo awamu nyingine ikiwa staili ya ilopita haijamfurahisha kocha
Kocha yupi ?!!!

Hivi unacheza na kisu cha "presidential decree"?!!![emoji15][emoji15][emoji1787]

Ninyi Rais wa JMT mnamchukulia ni rais wa familia hapo mtaani kwako ?!!!
 
Kwani posho zenu 40,000 za kukesha usiku kushona vijeraha halmashauri huwa hawawalipi ?!!

Yaani vetting ifanyike aonekane anatosha halafu sakala mmoja asiyeweza kufanya kazi bila ya leseni ya MCT atupigie makelele koko humu JF?!!![emoji15][emoji1787][emoji1787]
Vetting??.

Bwana Mdogo, Kikwete alikiri kumshawishi Magufuli ampendekeze Samia kua makamo wake.

Kama Hilo halitoshi, Hiyo vetting ilifanywa kwa kuzingatia ukweli kwamba
1-Magufuli ndio Rais na mtu imara .

2-Samia ni Mzanzibari

3-Mwanamke

4-Dhaifu hivyo kuwa chini ya JPM Hana athari.

Vetting??? Kwa Elimu gani Sasa ??.

Pumbavu Mmoja wewe !!.
 
Ni kweli Rais hawezi kusikiliza kero za mwananchi mmoja mmoja, itakuwa jau sana .... mwingine kapigwa na mumewe anataka kesi apeleke kwa Rais, tutamaliza saa ngapi?
Afu unafki mwingiii...huku tunamsema hafai tena asikilize haohao.mbwaimbwai
 
Hapana, Rais anatakiwa ashughulike na mambo ya kitaifa. Huyo raia unaweza kukuta analalamikia kesi ya mirathi ya familia yao au kucheleweshwa mshahara kazini kwake.
Sasa kilichomfanya asimame njiani ni nini? Kwanini asingelikwenda moja kwa moja uwanjani?😂😂😂
 
Kwani posho zenu 40,000 za kukesha usiku kushona vijeraha halmashauri huwa hawawalipi ?!!

Yaani vetting ifanyike aonekane anatosha halafu sakala mmoja asiyeweza kufanya kazi bila ya leseni ya MCT atupigie makelele koko humu JF?!!![emoji15][emoji1787][emoji1787]

Kazi ya Afya, ni kazi za Wito, Moyo, ni kazi ambazo zinapewa kibali na Mungu .

Kwa kazi zinazofanywa na Madaktari ,Wauguzi na watu wote wa Kada hii.

Hata Posho ya siku ya Mbunge, isingetosha !!.
 
Vetting??.

Bwana Mdogo, Kikwete alikiri kumshawishi Magufuli ampendekeze Samia kua makamo wake.

Kama Hilo halitoshi, Hiyo vetting ilifanywa kwa kuzingatia ukweli kwamba
1-Magufuli ndio Rais ,na mtu imara .

2-Samia ni Mzanzibari

3-Mwanamke

4-Dhaifu Ivo kua chini ya JPM Hana athari.

Vetting??? Kwa Elimu gani Sasa ??.

Pumbavu Mmoja wewe !!.
Magufuli huwa si alisema yeye hapangiwi? Kwa nini amuweke mtu dhaifu? Alijua hatakufa?
Misukule ya Chato bana
 
Back
Top Bottom