Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Huyo ana muda mwingi sana wa kutangatanga na kufanya mikutano ya kijiji kwa kijiji, baadaye anaenda Ubelgiji au Marekani kupumzika miezi miwili au mitatu na familia yake ambao ni raia wa huko... Huwezi kumlinganisha na Rais mwenye ratiba ngumuTundu Lisu husikiliza tofauti na yule Mwamba wa Chopa!
Wewe huutamani uraia wa Marekani?Huyo ana muda mwingi sana wa kutangatanga na kufanya mikutano ya kijiji kwa kijiji, baadaye anaenda Ubelgiji au Marekani kupumzika miezi miwili au mitatu na familia yake ambao ni raia wa huko... Huwezi kumlinganisha na Rais mwenye ratiba ngumu
Ndio ila kama raisi anatakiwa kuwapa nafasi ya kuwasikiliza. Wakati mwingine ni lazima uoneshe unajali. Hiyo ni elitism ndo anayotuonesha. Sio kila mbunge ana access na raisi wa nchi.Ni kweli Rais hawezi kusikiliza kero za mwananchi mmoja mmoja, itakuwa jau sana .... mwingine kapigwa na mumewe anataka kesi apeleke kwa Rais, tutamaliza saa ngapi?
Hizi itifaki zinamfanya rais asijue kinachoendelea on the ground... viongozi hawawezi kumfikishia vitu negative mara moja moja sio mbaya kusikiliza raia ....Hapana, Rais anatakiwa ashughulike na mambo ya kitaifa. Huyo raia unaweza kukuta analalamikia kesi ya mirathi ya familia yao au kucheleweshwa mshahara kazini kwake.
Unaona ulivyokuwa mpuuzi?Haya mambo tumeyaona awamu ya tano, hakukuwa na lolote la maana
Dawa ni kuimarisha mifumo iliyopo tu la sivyo itakuwa kutwanga maji kwenye kinu na kutafuta sifa za bei rahisi
Hapana, nimekulia Tanzania maisha yangu yote, siwezi kuzoea ugeniniWewe huutamani uraia wa Marekani?
Sasa Changamoto ya Zahanati si ndio mambo ya mbunge?Rais Samia leo September akiwa Nangurukuru mkoani Mtwara alisimamisha msafara wake kuongea na wananchi wa eneo hilo. Moja wananchi hao aliomba kuongea jambo ambapo Rais alimwambia mambo ni mengi na Tanzania ni kubwa.
Rais Samia alimtaka mwananchi huyo ampatie jambo lake mbunge kisha amfikishie Rais au wasaidizi wake.
Mwaka 2017 Rais Magufuli akiwa anaelekea Mtwara alisimamishwa Somanga na mwananchi aliyeelezea changamoto ya zahanati katika eneo hilo kutokamilika kwa miaka mingi. Rais Magufuli alichangia na kuamrisha ikamilike.
Alipopita tena barabara hiyo miaka 3 baadae mwananchi huyo alimzawadia jogoo na Magufuli alimsubiri mpaka alipomkamatia na kumpa. Alipofariki, mwananchi huyo alifunga safari kumzika Rais Magufuli mwaka 2021.
Kaka/dada kuamrisha hospitali ikamilike na ikakamilika ni kitu kibayaTatizo walijazwa upepo na yule mwigizaji au bwana yule
huwa anapeleka report kwa kocha wake mkuu halafu tena anafundishwa staili nyingine ya kuja nayo awamu nyingine ikiwa staili ya ilopita haijamfurahisha kochaHuyo ana muda mwingi sana wa kutangatanga na kufanya mikutano ya kijiji kwa kijiji, baadaye anaenda Ubelgiji au Marekani kupumzika miezi miwili au mitatu na familia yake ambao ni raia wa huko... Huwezi kumlinganisha na Rais mwenye ratiba ngumu
Nini Sasa hichi ?!!!Rais Samia leo September akiwa Nangurukuru mkoani Mtwara alisimamisha msafara wake kuongea na wananchi wa eneo hilo. Moja wananchi hao aliomba kuongea jambo ambapo Rais alimwambia mambo ni mengi na Tanzania ni kubwa.
Rais Samia alimtaka mwananchi huyo ampatie jambo lake mbunge kisha amfikishie Rais au wasaidizi wake.
Mwaka 2017 Rais Magufuli akiwa anaelekea Mtwara alisimamishwa Somanga na mwananchi aliyeelezea changamoto ya zahanati katika eneo hilo kutokamilika kwa miaka mingi. Rais Magufuli alichangia na kuamrisha ikamilike.
Alipopita tena barabara hiyo miaka 3 baadae mwananchi huyo alimzawadia jogoo na Magufuli alimsubiri mpaka alipomkamatia na kumpa. Alipofariki, mwananchi huyo alifunga safari kumzika Rais Magufuli mwaka 2021.
[emoji2956]Ni kweli Rais hawezi kusikiliza kero za mwananchi mmoja mmoja, itakuwa jau sana .... mwingine kapigwa na mumewe anataka kesi apeleke kwa Rais, tutamaliza saa ngapi?
ZambiaYeye ni Rais wa nchi gani?
Wasimsumbue rais wetu, kwanza hawakumchagua🤣🤣🤣Rais Samia leo September akiwa Nangurukuru mkoani Mtwara alisimamisha msafara wake kuongea na wananchi wa eneo hilo. Moja wananchi hao aliomba kuongea jambo ambapo Rais alimwambia mambo ni mengi na Tanzania ni kubwa.
Rais Samia alimtaka mwananchi huyo ampatie jambo lake mbunge kisha amfikishie Rais au wasaidizi wake.
Mwaka 2017 Rais Magufuli akiwa anaelekea Mtwara alisimamishwa Somanga na mwananchi aliyeelezea changamoto ya zahanati katika eneo hilo kutokamilika kwa miaka mingi. Rais Magufuli alichangia na kuamrisha ikamilike.
Alipopita tena barabara hiyo miaka 3 baadae mwananchi huyo alimzawadia jogoo na Magufuli alimsubiri mpaka alipomkamatia na kumpa. Alipofariki, mwananchi huyo alifunga safari kumzika Rais Magufuli mwaka 2021.
Unaongea kama umelewa "nipa" vile....Angweza kusikiliza mmoja au wawili yaani huyu Maza ni mvivu kinona! Yaani hata shauku hana...
[emoji2956]Sahihi kabisa, utaratibu wa Rais kusikiliza shida za mtu mmoja mmoja barabarani haufai
Tatizo ni wasaidizi wa rais. Inakuwaje hawajutafuta hizo info mapema. Clip kama hizi zitammaliza rais Dkt Samia 2025. Maana kauli ka hiyo inaonesha ukaidi. Jamani hakika Dkt Samia anahujumiwa.Rais Samia leo September akiwa Nangurukuru mkoani Mtwara alisimamisha msafara wake kuongea na wananchi wa eneo hilo. Moja wananchi hao aliomba kuongea jambo ambapo Rais alimwambia mambo ni mengi na Tanzania ni kubwa.
Rais Samia alimtaka mwananchi huyo ampatie jambo lake mbunge kisha amfikishie Rais au wasaidizi wake.
Mwaka 2017 Rais Magufuli akiwa anaelekea Mtwara alisimamishwa Somanga na mwananchi aliyeelezea changamoto ya zahanati katika eneo hilo kutokamilika kwa miaka mingi. Rais Magufuli alichangia na kuamrisha ikamilike.
Alipopita tena barabara hiyo miaka 3 baadae mwananchi huyo alimzawadia jogoo na Magufuli alimsubiri mpaka alipomkamatia na kumpa. Alipofariki, mwananchi huyo alifunga safari kumzika Rais Magufuli mwaka 2021.
Afikishe Kwa wahusika alichotaka kusemaUnajua alitaka kusema nini?...
Usimdharau usiemjua..isitoshe kwa ulichoandika unaonesha kichwani huna kitu..
Chawa ni JOKA lililo mdanganya hawa bustaniniNi kweli Rais hawezi kusikiliza kero za mwananchi mmoja mmoja, itakuwa jau sana .... mwingine kapigwa na mumewe anataka kesi apeleke kwa Rais, tutamaliza saa ngapi?
Swadaktaaa[emoji2956]Anasimama barabarani kusalimia, au kutoa majibu ya matatizo aliyopewa na kuhusu hilo eneo na mbunge wao... Ndio maana ya representative democracy