Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Hakuna hata kura zinzotafutwa, huwa zipo tu na wanaozihesabu huwa ndio waamuzi hasa wa kila kitu[emoji16]Sawa mkiwa mnatafuta kura hizo shida zenu za kura muwaambie ambao mnasikiliza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna hata kura zinzotafutwa, huwa zipo tu na wanaozihesabu huwa ndio waamuzi hasa wa kila kitu[emoji16]Sawa mkiwa mnatafuta kura hizo shida zenu za kura muwaambie ambao mnasikiliza
Hiyo style ya kutatau matatizo ya raia mmoja mmoja ni mbovu sana na ya kijima.Kuwa rais wa watu ni pamoja na kuwasikiliza wananchi wako shida zao. Wabunge wapo ila hawana rekodi ya kusikiliza shida za mtu mmojamoja. Rais angeiga tu style ya mtangulizi wake alivyoonekana kuwajali wanyonge
Kama hawezi sikiliza wananchi basi asingesimama labda anahasira kwa kadi kurudishwa na kuendeleankurudishwa. Asichojua anawakati mgumu kwakua mtangulizi wake alionyesha njia tofauti. Kama leo hawezi wasikiliza basi na kwenye kampeni asiwafuate watu watakua na jambo lao
SawaHuwezi kumpangia Rais mahali pa kusimama,
Wazururaji wenyewe wanasimama barabarani popote, itakuwa Rais wa nchi.
Sio hata itifaki, ni common sense tu.Hizi itifaki zinamfanya rais asijue kinachoendelea on the ground... viongozi hawawezi kumfikishia vitu negative mara moja moja sio mbaya kusikiliza raia ....
Ikulu , kugawa vyeo na safari za nje tuYeye ni Rais wa nchi gani?
Basi asitembee barabarani. Anao uwezo wa kuruka na chopa mpaka pote apendapo!Sahihi kabisa, utaratibu wa Rais kusikiliza shida za mtu mmoja mmoja barabarani haufai
Wewe unaelewa?Huelewei wajibu na majukumu ya Rais.
Alisimama kuFanya nn? Na kusalimia awe anasalimia kwenye tv/ radio ya taifa! Rais sio sawa kusalimia watu barabaraniHapana, Rais anatakiwa ashughulike na mambo ya kitaifa. Huyo raia unaweza kukuta analalamikia kesi ya mirathi ya familia yao au kucheleweshwa mshahara kazini kwake.
ArabNa hili nalo muende mkalitazameView attachment 2751542
Anakihujumu huyu. Hana uchungu na maskini. Yeye watu wake wapo dubaiTatizo ni wasaidizi wa rais. Inakuwaje hawajutafuta hizo info mapema. Clip kama hizi zitammaliza rais Dkt Samia 2025. Maana kauli ka hiyo inaonesha ukaidi. Jamani hakika Dkt Samia anahujumiwa.
Rais Samia leo September akiwa mkoani Mtwara alisimamisha msafara wake kuongea na wananchi wa eneo hilo. Moja wananchi hao aliomba kuongea jambo ambapo Rais alimwambia mambo ni mengi na Tanzania ni kubwa.
Rais Samia alimtaka mwananchi huyo ampatie jambo lake mbunge kisha amfikishie Rais au wasaidizi wake.
Mwaka 2017 Rais Magufuli akiwa anaelekea Mtwara alisimamishwa Somanga na mwananchi aliyeelezea changamoto ya zahanati katika eneo hilo kutokamilika kwa miaka mingi. Rais Magufuli alichangia na kuamrisha ikamilike.
Alipopita tena barabara hiyo miaka 3 baadae mwananchi huyo alimzawadia jogoo kama shukrani ya kutimiza ahadi ya kufanyia kazi dukuduku lake na Magufuli alimsubiri mpaka alipomkamatia na kumpa. Alipofariki, mwananchi huyo alifunga safari kumzika Rais Magufuli mwaka 2021.
View attachment 2750834Anaogopa swali la Bamdari. Hana uhakika na majibu au vipi?
ExactlyMbunge naye anaweza kataa akasema akamueleze shida zake mwenyekiti wa kijiji. Huwenda kero ya huyo mwananchi inasababishwa na huyo huyo mbunge wao.
Si alimchagua kama ubavu wa Jpm? Kukataa kupokea ujumbe wa Ana kwa Ana ni istana ya wasiwasi au hukujiandaa.Ni kweli Rais hawezi kusikiliza kero za mwananchi mmoja mmoja, itakuwa jau sana .... mwingine kapigwa na mumewe anataka kesi apeleke kwa Rais, tutamaliza saa ngapi?
kimsingi hawana elimu na hawajui itifaki ya viongozi wa kitaifa. Marais wengine hawakufanya hivyo ila wanapofanya ku solve tatizo la mtu binafsi hufanya hivyo kisiasa tu. Ni mchezo wa kisiasa kujifanya uko karibu na wananchi wa chini mmoja mmoja.Hiyo style ya kutatau matatizo ya raia mmoja mmoja ni mbovu sana na ya kijima.
Wananchi wenyewe wanaopewa microphone mbele ya Rais huwa wanazungumzia zaidi shida zao binafsi, sio hata mambo ya jimbo lao au taifa kwa ujumla.
Umejuaje kama huyo mwananchi alitaka kuuliza swali binafsi, haya tuchukulie suala binafsi labda mwananchi kaibiwa mifugo yake...Rais si anampasia DC kulishughulikia, inakuwa ni agizo sasa la Rais kwasabb hawa viongozi wetu huku mawilayani saa zingine wanapenda sana ubwanyenye wanachelewa kuchukua hatua!.kimsingi hawana elimu na hawajui itifaki ya viongozi wa kitaifa. Marais wengine hawakufanya hivyo ila wanapofanya ku solve tatizo la mtu binafsi hufanya hivyo kisiasa tu. Ni mchezo wa kisiasa kujifanya uko karibu na wananchi wa chini mmoja mmoja.