Pre GE2025 Rais Samia akiitumia Busara na Hekima ya Kimbingu akaachana na ubinadamu, atakubaliana namm kua "Umakamo/Urais wake ulichaguliwa Kwa mpito tu!!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
hivi unajuwa maana ya kugombea u rais? siyo kuomba lazima nguvu itumike siyo kirahisi rahisi tu bro
 
mnapata shida mkiwa wapi? ccm mbelekwambeleeeeeeeeee
 
Mama yupo mpaka 2035,akitoka nchi tunampa Abdul,upo hapo!?? Cha msingi muwe na pain killer za kutosha kupooza maumivu,maana Abdul ndio Rais ajaye 2035. au Ridhiwan
MTt wa kiume kua chawa ni mambo ya ajabu ajabu sana unchowaza ni tumbo lako tu la kuhara basi
 
MTt wa kiume kua chawa ni mambo ya ajabu ajabu sana unchowaza ni tumbo lako tu la kuhara basi
Kumkubari mtu dada sio mpaka uwe chawa! Inamaana wewe ulikuwa chawa wa Jiwe? Samia kafanya mambo makubwa simmesikia juzi ajira TRA pia zimetangazwa,acha ajira kibao za ualimu na kada za afya ,Magufulu awamu yake yote hakuwai kuajiri but aliwatoa watu wengi kwenye ajira na wengi kuwatia ufukara( japo marehemu hasemwi,mungu amrehemu)

Vijana muwe na shukrani
 
🚮🚮 Nani alishinda Kwa kushindanishwa?
 
Samia kuwa rais inampa advantage ambayo marais wengine wa ccm hupata yaan mserereko ndani ya chama.
 
Mama yupo mpaka 2035,akitoka nchi tunampa Abdul,upo hapo!?? Cha msingi muwe na pain killer za kutosha kupooza maumivu,maana Abdul ndio Rais ajaye 2035. au Ridhiwan
MPUUZI WW NI MUNGU?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…