Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
HahahaTumekuelewa WENJE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaTumekuelewa WENJE
Hatumpendi ,hata wewe humpendi ila njaa yako na unafiki ndio umekufanya uwe hivyoHapendwi au humpendi wewe mumeo na familia yako bibie, ndio kashakuwa rais vumilia tu mama
Pole,utapata BpHatumpendi ,hata wewe humpendi ila njaa yako na unafiki ndio umekufanya uwe hivyo
hivi unajuwa maana ya kugombea u rais? siyo kuomba lazima nguvu itumike siyo kirahisi rahisi tu broNi Lini Rais Samia aliwahi hata kusema nitagombea Urais ?.
Achilia mbali wanasiasa wote waliowah kua Marais, mwanzon kabisa walionyesha Nia zao, wakachukua Fomu n.k.
Rais Samia, anachaguliwa kua Mgombea mwenza wa JPM si Kwa sababu hakukuapona MTU Bora zaidi la hasha, wapo wanaume na Wanawake Bora zaidi , lakini yeye anapendekezwa Kwa utashi wa HAYATI MAGUFULI ( hata hili tu la kupendekezwa na HAYATI MAGUFULI , halikumfaa Rais Samia kua muumini wake?) anakua makamo katika kampeni ambazo jina la HAYATI MAGUFULI , NDIO LIKAKIBEBA CHAMA.
Rais MAGUFULI anafariki, na bila kutarajia Makamo Samia anakua Rais Samia.
Unaweza kujiuliza, kama Rais MAGUFULI asingefariki akaenda mpaka 2025 hii Leo, je Makamo wa Rais Samia, angechukua Fomu kugombea Urais ??.
Soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
MTU anaweza kusema hizo ni scenario mbili tofauti , alaaa !! Sasa kama ni tofauti, kwanini AJITANGAZE KUA MGOMBEA PEKEE?. Kwanini asiruhusu Demokrasia ? Watu wachukue Fomu, wachujwe, majina yapatikane, Mkutano ukaamue ??
Sasa Ikiwa atalifahamu neno hilo ya kua, Umakamo na Urais wake uliruhusiwa Kwa kipindi fulani Cha Mpito, WALA ASIHANGAIKE KUGOMBEA, HATA KAMA URAIS NI MTAMU.
Ajiulize tu kama angekua wa kuchukua Fomu kugombea, na wengineo pia wakachukua Fomu , angetoboa??.
Kwakua asingetoboa, basi aamini kua Urais wake uliamuliwa kua wa upendeleo katika kipindi Fulani, lakini SIO WA YEYE KUGOMBEA.
Shida iliyopo ni kuzungukwa na Machawa wanaokosa maono ya kiroho, na ubinadamu wake kua sasa Urais ni mtamu.
Rais asichukue advantage ya Uchaguzi kumkuta tayari ana Urais wa Kudra za mwenyezi Mungu, ikiwa anaamini katika Ubora wake basi alipaswa Kuruhusu ashindanishwe, haiwezekan Rais ambaye hakuwahi kugombea, Kawa Rais kwa sababu ya Kudra za mwenyezi Mungu, ufikie uchaguzi atumie hiyo Fursa kujibakisha Madarakani !!.
mnapata shida mkiwa wapi? ccm mbelekwambeleeeeeeeeeeKwanza sisi watu wa hesabu tunasesa
Makamu wa Rais= Rais
Ukomo wa makamo = Ukomo wa Rais
Hivyo
Umakamo+Urais= Ukomo wa Urais
Maana yake Samia kawa makamo Kwa Miaka 6, na Urais Kwa Miaka 4. Hivyo hastaili Tena kuzidi miaka 10 Kwa cheo Cha Urais na umakamu aliotumikia
😅Hatumpendi ,hata wewe humpendi ila njaa yako na unafiki ndio umekufanya uwe hivyo
MTt wa kiume kua chawa ni mambo ya ajabu ajabu sana unchowaza ni tumbo lako tu la kuhara basiMama yupo mpaka 2035,akitoka nchi tunampa Abdul,upo hapo!?? Cha msingi muwe na pain killer za kutosha kupooza maumivu,maana Abdul ndio Rais ajaye 2035. au Ridhiwan
Kumkubari mtu dada sio mpaka uwe chawa! Inamaana wewe ulikuwa chawa wa Jiwe? Samia kafanya mambo makubwa simmesikia juzi ajira TRA pia zimetangazwa,acha ajira kibao za ualimu na kada za afya ,Magufulu awamu yake yote hakuwai kuajiri but aliwatoa watu wengi kwenye ajira na wengi kuwatia ufukara( japo marehemu hasemwi,mungu amrehemu)MTt wa kiume kua chawa ni mambo ya ajabu ajabu sana unchowaza ni tumbo lako tu la kuhara basi
🚮🚮 Nani alishinda Kwa kushindanishwa?Ni Lini Rais Samia aliwahi hata kusema nitagombea Urais ?.
Achilia mbali wanasiasa wote waliowah kua Marais, mwanzon kabisa walionyesha Nia zao, wakachukua Fomu n.k.
Rais Samia, anachaguliwa kua Mgombea mwenza wa JPM si Kwa sababu hakukuapona MTU Bora zaidi la hasha, wapo wanaume na Wanawake Bora zaidi , lakini yeye anapendekezwa Kwa utashi wa HAYATI MAGUFULI ( hata hili tu la kupendekezwa na HAYATI MAGUFULI , halikumfaa Rais Samia kua muumini wake?) anakua makamo katika kampeni ambazo jina la HAYATI MAGUFULI , NDIO LIKAKIBEBA CHAMA.
Rais MAGUFULI anafariki, na bila kutarajia Makamo Samia anakua Rais Samia.
Unaweza kujiuliza, kama Rais MAGUFULI asingefariki akaenda mpaka 2025 hii Leo, je Makamo wa Rais Samia, angechukua Fomu kugombea Urais ??.
Soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
MTU anaweza kusema hizo ni scenario mbili tofauti , alaaa !! Sasa kama ni tofauti, kwanini AJITANGAZE KUA MGOMBEA PEKEE?. Kwanini asiruhusu Demokrasia ? Watu wachukue Fomu, wachujwe, majina yapatikane, Mkutano ukaamue ??
Sasa Ikiwa atalifahamu neno hilo ya kua, Umakamo na Urais wake uliruhusiwa Kwa kipindi fulani Cha Mpito, WALA ASIHANGAIKE KUGOMBEA, HATA KAMA URAIS NI MTAMU.
Ajiulize tu kama angekua wa kuchukua Fomu kugombea, na wengineo pia wakachukua Fomu , angetoboa??.
Kwakua asingetoboa, basi aamini kua Urais wake uliamuliwa kua wa upendeleo katika kipindi Fulani, lakini SIO WA YEYE KUGOMBEA.
Shida iliyopo ni kuzungukwa na Machawa wanaokosa maono ya kiroho, na ubinadamu wake kua sasa Urais ni mtamu.
Rais asichukue advantage ya Uchaguzi kumkuta tayari ana Urais wa Kudra za mwenyezi Mungu, ikiwa anaamini katika Ubora wake basi alipaswa Kuruhusu ashindanishwe, haiwezekan Rais ambaye hakuwahi kugombea, Kawa Rais kwa sababu ya Kudra za mwenyezi Mungu, ufikie uchaguzi atumie hiyo Fursa kujibakisha Madarakani !!.
MPUUZI WW NI MUNGU?Mama yupo mpaka 2035,akitoka nchi tunampa Abdul,upo hapo!?? Cha msingi muwe na pain killer za kutosha kupooza maumivu,maana Abdul ndio Rais ajaye 2035. au Ridhiwan
Kunywa maji mkuu, Abdul Rais 2035, akitoka Ridhiwani anafuataMPUUZI WW NI MUNGU?