ila we utakuwepo 2025, sindio?N asipokuwa rais October 2025 ni Mungu atakuwa amepanga pia, mkubali na hilo pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ila we utakuwepo 2025, sindio?N asipokuwa rais October 2025 ni Mungu atakuwa amepanga pia, mkubali na hilo pia.
Umeelewa nilichoandika au unakurupuka tuu!!??ila we utakuwepo 2025, sindio?
Soma ulichoandikaUmeelewa nilichoandika au unakurupuka tuu!!??
Kila mwenye sikio na Asikiye haya Ambayo Bwana anena na KanisaNi Lini Rais Samia aliwahi hata kusema nitagombea Urais ?.
Achilia mbali wanasiasa wote waliowah kua Marais, mwanzon kabisa walionyesha Nia zao, wakachukua Fomu n.k.
Rais Samia, anachaguliwa kua Mgombea mwenza wa JPM si Kwa sababu hakukuapona MTU Bora zaidi la hasha, wapo wanaume na Wanawake Bora zaidi , lakini yeye anapendekezwa Kwa utashi wa HAYATI MAGUFULI ( hata hili tu la kupendekezwa na HAYATI MAGUFULI , halikumfaa Rais Samia kua muumini wake?) anakua makamo katika kampeni ambazo jina la HAYATI MAGUFULI , NDIO LIKAKIBEBA CHAMA.
Rais MAGUFULI anafariki, na bila kutarajia Makamo Samia anakua Rais Samia.
Unaweza kujiuliza, kama Rais MAGUFULI asingefariki akaenda mpaka 2025 hii Leo, je Makamo wa Rais Samia, angechukua Fomu kugombea Urais ??.
Soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
MTU anaweza kusema hizo ni scenario mbili tofauti , alaaa !! Sasa kama ni tofauti, kwanini AJITANGAZE KUA MGOMBEA PEKEE?. Kwanini asiruhusu Demokrasia ? Watu wachukue Fomu, wachujwe, majina yapatikane, Mkutano ukaamue ??
Sasa Ikiwa atalifahamu neno hilo ya kua, Umakamo na Urais wake uliruhusiwa Kwa kipindi fulani Cha Mpito, WALA ASIHANGAIKE KUGOMBEA, HATA KAMA URAIS NI MTAMU.
Ajiulize tu kama angekua wa kuchukua Fomu kugombea, na wengineo pia wakachukua Fomu , angetoboa??.
Kwakua asingetoboa, basi aamini kua Urais wake uliamuliwa kua wa upendeleo katika kipindi Fulani, lakini SIO WA YEYE KUGOMBEA.
Shida iliyopo ni kuzungukwa na Machawa wanaokosa maono ya kiroho, na ubinadamu wake kua sasa Urais ni mtamu.
Rais asichukue advantage ya Uchaguzi kumkuta tayari ana Urais wa Kudra za mwenyezi Mungu, ikiwa anaamini katika Ubora wake basi alipaswa Kuruhusu ashindanishwe, haiwezekan Rais ambaye hakuwahi kugombea, Kawa Rais kwa sababu ya Kudra za mwenyezi Mungu, ufikie uchaguzi atumie hiyo Fursa kujibakisha Madarakani !!.
Sasa ushungi umeingiaje hapo? Ndio tuseme mnamchukia sababu ya ushungi wake?Hivi unafikiri ni yeye? Hapana
Ni Mr Mo
Mr: Bakhresa
Mr. Rostam Aziz
Mr Kishimba
Mr. Jakaya Kikwete
Wale wote waliompiga vita JPM ndiyo kipenzi wa ushungi. Wala msiogope. Muda unafika.
Tunaingia na kuondoka
Hahaaha kwa formula hii hata kubaliKwanza sisi watu wa hesabu tunasesa
Makamu wa Rais= Rais
Ukomo wa makamo = Ukomo wa Rais
Hivyo
Umakamo+Urais= Ukomo wa Urais
Maana yake Samia kawa makamo Kwa Miaka 6, na Urais Kwa Miaka 4. Hivyo hastaili Tena kuzidi miaka 10 Kwa cheo Cha Urais na umakamu aliotumikia
Labda sanduku la nguoTanzania bhana,
Mabadiriko yanatakiwa yafanyike kwenye sanduku la kura
"Na asipokuwa rais October 2025 ni Mungu atakuwa amepanga pia, mkubali na hilo pia".Soma ulichoandika
Nguvu iliyo mwek hapo ikiamua akae hadi 20250 itakuwa. Na nguvu hiyo hiyo inaweza kumwamrisha kwa namna ya ajabu akaishia mwaka huu na kumwachia mgombea mwenza awe NDIYE. amini hiki ninacho kuambiaWalio tuletea hili furushi la mchanga ni kiboko, yaani sijui waliwaza nini hawa watu.
Ni ngumu sanaKwa sasa sijui kama atakuelewa,kaonja utamu halafu umwambie aache siyo kweli kabisa.
Tuchote busara kutoka kwa Mwl. J.K. NyerereNi Lini Rais Samia aliwahi hata kusema nitagombea Urais ?.
Achilia mbali wanasiasa wote waliowah kua Marais, mwanzon kabisa walionyesha Nia zao, wakachukua Fomu n.k.
Rais Samia, anachaguliwa kua Mgombea mwenza wa JPM si Kwa sababu hakukuapona MTU Bora zaidi la hasha, wapo wanaume na Wanawake Bora zaidi , lakini yeye anapendekezwa Kwa utashi wa HAYATI MAGUFULI ( hata hili tu la kupendekezwa na HAYATI MAGUFULI , halikumfaa Rais Samia kua muumini wake?) anakua makamo katika kampeni ambazo jina la HAYATI MAGUFULI , NDIO LIKAKIBEBA CHAMA.
Rais MAGUFULI anafariki, na bila kutarajia Makamo Samia anakua Rais Samia.
Unaweza kujiuliza, kama Rais MAGUFULI asingefariki akaenda mpaka 2025 hii Leo, je Makamo wa Rais Samia, angechukua Fomu kugombea Urais ??.
Soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
MTU anaweza kusema hizo ni scenario mbili tofauti , alaaa !! Sasa kama ni tofauti, kwanini AJITANGAZE KUA MGOMBEA PEKEE?. Kwanini asiruhusu Demokrasia ? Watu wachukue Fomu, wachujwe, majina yapatikane, Mkutano ukaamue ??
Sasa Ikiwa atalifahamu neno hilo ya kua, Umakamo na Urais wake uliruhusiwa Kwa kipindi fulani Cha Mpito, WALA ASIHANGAIKE KUGOMBEA, HATA KAMA URAIS NI MTAMU.
Ajiulize tu kama angekua wa kuchukua Fomu kugombea, na wengineo pia wakachukua Fomu , angetoboa??.
Kwakua asingetoboa, basi aamini kua Urais wake uliamuliwa kua wa upendeleo katika kipindi Fulani, lakini SIO WA YEYE KUGOMBEA.
Shida iliyopo ni kuzungukwa na Machawa wanaokosa maono ya kiroho, na ubinadamu wake kua sasa Urais ni mtamu.
Rais asichukue advantage ya Uchaguzi kumkuta tayari ana Urais wa Kudra za mwenyezi Mungu, ikiwa anaamini katika Ubora wake basi alipaswa Kuruhusu ashindanishwe, haiwezekan Rais ambaye hakuwahi kugombea, Kawa Rais kwa sababu ya Kudra za mwenyezi Mungu, ufikie uchaguzi atumie hiyo Fursa kujibakisha Madarakani !!.
Kama alivyosema huyu.Nguvu iliyo mwek hapo ikiamua akae hadi 20250 itakuwa. Na nguvu hiyo hiyo inaweza kumwamrisha kwa namna ya ajabu akaishia mwaka huu na kumwachia mgombea mwenza awe NDIYE. amini hiki ninacho kuambia
Mnampa Abdul mkiwa na nani?....Acha kuwaza kwa njia ya matako!Mama yupo mpaka 2035,akitoka nchi tunampa Abdul,upo hapo!?? Cha msingi muwe na pain killer za kutosha kupooza maumivu,maana Abdul ndio Rais ajaye 2035. au Ridhiwan
Acha matusi wewe mwanamke, Abdul ni Mtanzania lazima tumpe Nchi 2035 baada ya Samia, jiandaeni kunywa mipanado kwa wingi kupooza maumivuMnampa Abdul mkiwa na nani?....Acha kuwaza kwa njia ya matako!
Ngumu sanaNi ngumu sana
Bahati mbaya tulionayo watanzania ni kukosa uwezo wa kubadili kilichopo hata kama haturidhiki nacho.Ni Lini Rais Samia aliwahi hata kusema nitagombea Urais ?.
Achilia mbali wanasiasa wote waliowah kua Marais, mwanzon kabisa walionyesha Nia zao, wakachukua Fomu n.k.
Rais Samia, anachaguliwa kua Mgombea mwenza wa JPM si Kwa sababu hakukuapona MTU Bora zaidi la hasha, wapo wanaume na Wanawake Bora zaidi , lakini yeye anapendekezwa Kwa utashi wa HAYATI MAGUFULI ( hata hili tu la kupendekezwa na HAYATI MAGUFULI , halikumfaa Rais Samia kua muumini wake?) anakua makamo katika kampeni ambazo jina la HAYATI MAGUFULI , NDIO LIKAKIBEBA CHAMA.
Rais MAGUFULI anafariki, na bila kutarajia Makamo Samia anakua Rais Samia.
Unaweza kujiuliza, kama Rais MAGUFULI asingefariki akaenda mpaka 2025 hii Leo, je Makamo wa Rais Samia, angechukua Fomu kugombea Urais ??.
Soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
MTU anaweza kusema hizo ni scenario mbili tofauti , alaaa !! Sasa kama ni tofauti, kwanini AJITANGAZE KUA MGOMBEA PEKEE?. Kwanini asiruhusu Demokrasia ? Watu wachukue Fomu, wachujwe, majina yapatikane, Mkutano ukaamue ??
Sasa Ikiwa atalifahamu neno hilo ya kua, Umakamo na Urais wake uliruhusiwa Kwa kipindi fulani Cha Mpito, WALA ASIHANGAIKE KUGOMBEA, HATA KAMA URAIS NI MTAMU.
Ajiulize tu kama angekua wa kuchukua Fomu kugombea, na wengineo pia wakachukua Fomu , angetoboa??.
Kwakua asingetoboa, basi aamini kua Urais wake uliamuliwa kua wa upendeleo katika kipindi Fulani, lakini SIO WA YEYE KUGOMBEA.
Shida iliyopo ni kuzungukwa na Machawa wanaokosa maono ya kiroho, na ubinadamu wake kua sasa Urais ni mtamu.
Rais asichukue advantage ya Uchaguzi kumkuta tayari ana Urais wa Kudra za mwenyezi Mungu, ikiwa anaamini katika Ubora wake basi alipaswa Kuruhusu ashindanishwe, haiwezekan Rais ambaye hakuwahi kugombea, Kawa Rais kwa sababu ya Kudra za mwenyezi Mungu, ufikie uchaguzi atumie hiyo Fursa kujibakisha Madarakani !!.
Tumekuelewa WENJEAcha matusi wewe mwanamke, Abdul ni Mtanzania lazima tumpe Nchi 2035 baada ya Samia, jiandaeni kunywa mipanado kwa wingi kupooza maumivu