Objective football
JF-Expert Member
- Oct 21, 2023
- 1,195
- 2,771
Jambo lisilowezekana.. Akupe mualiko anaanzia wapi.. [emoji23]
Twende na vitu kwa uhalisia. [emoji23][emoji1787]
Hata hapa jf akiona hawezi kubali ushauri wangu
Nitamwambia CHAWA hawana msaada tangible kwake.Awamu ya sita ya mama samia tumeona mengi yakifanyika ikiwemo utekelezaji wa miradi ya umwangiliaji ya kilimo, BBT,Ruzuku ya mbolea, Afya ,Ajira, Veta, kupandishwa madaraja kwa watumishi nk
Lakini pia zipo changamoto kadha wa kadha ambazo watanzania wanatamani wamfikishie Rais wao , nao wajione ni sehemu ya watanzania wanaofaidi matunda ya nchi hii!
Rais amekupa dakika tano tu umpongeze na umshauri kipi kiboreshwe ama kiongezeke kwenye utawala wake ili kila mtu ajivunie kuwa mtanzania , utazungumza nini ?
dont underestimate ureself chiefJambo lisilowezekana.. Akupe mualiko anaanzia wapi.. 😂
Twende na vitu kwa uhalisia. 😂🤣
Hata hapa jf akiona hawezi kubali ushauri wangu
hujaona miradi anayo tekeleza?Kwanza hakuna cha kumpongeza
Ila chakumwambia ni "AACHE MAIGIZO"
very good, utamsifia kwa yapi lkn?KATIBA MPYA
Huo ushauri unaweza jikuta uko korokoroni.Kwanza hakuna cha kumpongeza
Ila chakumwambia ni "AACHE MAIGIZO"
sio kweli, weka hoja usaidiweAkapumzike Kizimkazi 2025. Ni hayo tu.
wanao ,wataishi wapi chief?Auze nchi kila mtu apewe chake apite hivi.
vizuri sana, akiacha kwingine. vp mikopo ya elimu ya juu kwa wanafunzi itakuwaje?Aache vyote ashughulike na umeme na afya za watanzania ziwe affordable kigharama.
suala la maji , ametenga fedha nyingi sana. specify upo jimbo gani?Huku kwetu HAKUNA
Taarifa ya habari inasema maji kwetu yapo lakini Mimi nikifungulia hayatoki 😔