Mwanakwetuuu
JF-Expert Member
- Apr 8, 2022
- 1,011
- 2,283
Unakula ugali Kwa picha ya samaki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unahamasishwa ili kisiwe kichwa cha mwenda wazimu tenaUnakula ugali Kwa picha ya samaki
Duh !Tangu muende kupima dna na mke wako na kugundua watoto wote watano ulikuwa ukiwalea ukidhani ni wako kumbe ni wa Mbowe umejawa chuki ya milele kwa mbowe na Chadema.
Lilivifanyia vile vidudu vya 19 mzaha. Likidhani vidudu vile vinaogopa mibunduki....MUNGU ahimidiwe sana kwa kumfyeka kichaa na mwehu wa Taifa ile March 17th 2021.
Kwanza tulitafute la shirikisho hapa Africa ! Labda Coastal Union siku moja wanaweza kulileta maana Hao wengine wanaoitwa majabali ya soka Nchini wote mpaka sasa wameshindwa kulileta !!!Sujui ni lini na sisi tutalibeba Kombe la Dunia.
Kile kilikuwa kituko Cha Karne..jamaa uso mkavu hata haya hanaLile jamaa lilikuwa na mbwembwe za kishamba sana. Eti likaenda bandarini kuokota vichwa vya treni visitors na mwenyewe....
Wakati ubavuni vina nembo ya TRL
Hiyo ni kazi ya waziri wa michezo, rais kwenda kwa hayo ni kutowajibika. Kuna kazi ambazo zinamhitaji hazifanyi.
=======
Rais Samia akipokea Kombe
Ndungu Waalikwa mabibi na mabwana, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Kazi iendelee,
Leo tunafurahi, sana na tunasherehekea kuliona kombe la Dunia, ambalo limepita hapa kwetu kabla ya kwenda Qatar, Pia tunafurahoi kuwaona wageni waliokuja nalo, pia kumuona mchezaji wa zamani Juliono Bereti kwamba leo amefika Tanzania vijana watafurahi kumuona mchezaji huyu nguli wa zamani.
Kesho kombe hili litakuwa pale uwanja wa Mkapa, ila nitoe Idhari, kwani nimesikia mmesema wanayo nafasi ya kupiga nalo picha Umma utakaomimika pale kutaka kupiga hizo picha naomba kuwepo na ratiba nzuri itakayofanyamambo yaende vizuri pale.
Lakini pia kombe hili linakwenda kugombaniwa kule Qatar ingawa hatumo ila tumo katika nchi ambazo zimepelekewa kwenda kuliona, japo kuna wengine wakipata nafasi watakwenda Qatar kwenda kuliona likigombaniwa. Nimejulishwa kuwa kombe hili litazungushwa kwenye nchi 9, 5 zitashiriki na 4 hatutashiriki, wengine wanashiriki ila ni heshima kwetu kuwa tumeletewa kuliona hii ni heshima kubwa kwetu.
Nimeelezwa kuwa hii ni mara ya nne Kombe hili linaletwa kwetu mara ya mwisho ni 2014 ambapo Rais wetu Hayati Benjamini Mkapa alilipokea kwa hiyo leo miaka kadhaa imepita na leo tunalipokea na tunaliona sisi kabla ya waQatar kuliona.
Lakini Kombe hili kuja kwetu kwa fursa zinazoweza kupatikana lakini kubwa kwetu lina mchango wa kiuchumi na kijamii lakini pia ni kuitangaza nchi yetu na Cocacola wamelibeba hilo na kwamba mtaendelea kulibeba kombe hili na kuitangaza nchi yetu na kombe hili liwe fursa kwetu kwani dada zetu wametoka majumbani wamewaacha viongozi wetu majumbani kuja kulipokea kombe hili halafu lipite tu hivihivi bila faida haiwezekani kwa hiyo tuitumie fursa hii na kuitangaza nchi yetu katika ramani ya dunia ambayo imejaa kila aina ya ushindani.
Nitumie fursa hii kwa wizara ya michezo kwa kuendelea kushirikiana na kombe la mpira wa miguu Tanzania kwa kuendelea kutumia mchezo wa mpira kuitangaza nchi yetu, Juzi niliona walikuwa pale daraja la Tanzanite na ule ulikuwa ni ubunifu kwani sasa ulimwenguunajua Tanzania wana daraja linaitwa Tanzanite na uzuri taa zilikuwa zinawaka na hivyo dunia imejua vivutio zaidi.
Lakini pia Kuitangaza nchi yetu na kuisemea mazuri na kujipanga vizuri kutumia fursa vizuri kila zinapojitokeza kama kutoa huduama au kufanya biashara, naposema huduma ni huduma halali na si watokee wale wengine kwenda kupanga kutoa huduma kule wale wasichana tutawakamata na kupigana nao vizuri, lakini pia tulitunze vizuri kombe hili lifike salama sio lifike huko na vidotidoti.