Rais Samia akipokea Kombe la Dunia, Ikulu, Dar es Salaam Mei 31, 2022

Rais Samia akipokea Kombe la Dunia, Ikulu, Dar es Salaam Mei 31, 2022

Nijuavyo mm kombe la Dunia linashikwa na mkuu wa nchi tu, kwahiyo uwakilishi hapo hakuna mkuu,japo ni aibu Kwa Taifa hatujawahi kushiriki hata mara moja
Nchi nyingi likipita marais wanalipokea,sasa wabongo naona wanataka iwe tofauti
Ehhh

Ova
 
Nchi nyingi likipita marais wanalipokea,sasa wabongo naona wanataka iwe tofauti
Ehhh

Ova
Hapa sana sana wangehoji kuna mikakati gani ya kuligombea na pengine kulichukua kabisa badala ya kulipokea tu; lakini kuhoji kwa nini Mhe Rais kaenda kulipokea ni kuonesha hasira isiyo na mantiki dhidi ya mama kana kwamba yeye ndo alimzuia mtu kavaa barakoa!!
 
Halafu nisikie kuna mtu anasema hatujawahi kubeba kombe la dunia[emoji16]
 
akubishie nani wakati hauna hoja wala point yoyote juu unachotaka kubishiwa
Kombe la dunia original lipo kwa bingwa wa dunia wa football ambaye kwa sasa ni France,kisheria Fifa hawana uwezo wa kulichukua kombe hilo toka kwa France mpaka pale watakapovuliwa ubingwa,hilo kombe linalotembezwa kwa sasa ni mfano tuu siyo kombe halisi.
 
Back
Top Bottom