Nabisha, naomba ulete ushahidi wa hili!
Kombe la dunia linalotembezwa ni Og, kwa taarifa yako nadhani hujui hili!
Lile kombe wanalopewa wachezaji kwenye fainali ndiyo replica sasa, Og huwa linaingizwa uwanjani siku ya kwanza kabisa ya ufunguzi wa fainali na mechi ya mwishi ya fainali, baada ya hapo linarudi kuifadhiwa makao makuu ya Fifa na halitoki pale hadi wakati wa tour kama ilivyo hivi sasa.
Mwisho wa mashindano wachezaji wanaoshinda wanapewa Og pale uwanjani wanalishika na kusherea nalo ushindi, baada ya hapo wanapewa replica ambayo imetengenezwa na madini ya shaba then ikafunikwa na gold kwa juu, ambalo ndio hukaa nalo na og kuchukuliwa kwenda kuhifadhia makao makuu ya Fifa.
So kama ulikuwa hujui ni kwamba hata hao mabingwa watetezi hawako na kombe la dunia Original.
Wakati wa tout kama ilivyo sasa basi kombe Og linazungushwa dunia kwa baadhi ya nchi na si zote.
Kama una ushahidi usio na shaka pamoja na kuleta vyanzo kwamba hili linalozunguwa ni replica leta, otherwise wewe utakuwa ndiye popoma square kwa kuleta habari za kuokotq mtaani.
FIFA World Cup™ winners Iker Casillas and Kaká send original FIFA World Cup™ Trophy on global journey that will include all 32 qualifying countries for the first time
www.fifa.com