Amani bm 150
JF-Expert Member
- Aug 29, 2019
- 315
- 488
Waliwahi kutembeza original wahuni wakapita nalo sema kuna wabongo hawajui hili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna miaka lile kombe liliwahi ibwa.
Sikumbuki ilikuwa nchi ipi.
Naona wamejiongeza.
Kwa hyo wana mu-enjoy Mama [emoji23]
Nami nawasubiri kwa hamu sana Mkuu.Ngoja waje [emoji23]
TFF na Serikali ( hasa Madame Rais ) kwa pamoja watuombe Radhi Watanzania kwa Kutudanganya mchana kweupe kuwa lile Kombe alilobeba Juzi Rais ndiyo Kombe la Dunia lenyrwe ( Original )Kwa mara ya kwanza umeandika pointi,lile ni replica wamecoat gold juu tu lenyewe linalindwa kama Rais anavyolindwa
Hoja yangu ambayo Mpumbavu ( Popoma ) Wewe na hao ( hawa ) Wote waliokupa Likes kamwe hamuwezi Kuielewa ni kwamba FIFA hutembeza Kombe la la Dunia 'Replica' na kamwe siyo lile 'Original' lenyewe hivyo Wizara husika, Rais Samia na Rais wa TFF watuombe Radhi Watanzania wenye Akili Kubwa kwa Kutudanganya kuwa lile la Juzi ndiyo lenyewe.akubishie nani wakati hauna hoja wala point yoyote juu unachotaka kubishiwa
Ni kweli kabisa Mkuu na hii ndiyo sababu Kuu ya FIFA kuamua kutengeneza Kombe la Dunia 'Replica' na lile la 'Original' Kulindwa penginge kuliko hata alindavyo Mama yenu wa Kizanzibari anayetawala Bara nzima.Kuna miaka lile kombe liliwahi ibwa.
Sikumbuki ilikuwa nchi ipi.
Naona wamejiongeza.
Ulikozaliwa.🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 coated limetoka wapi dogo?
Kuliko maelezo na kumfanya hamnazo.Kwa hyo wana mu-enjoy Mama 😂
Wapumbavu ( Mapopoma ) wengi walikuwa hawajui.Hiyo inajulikana
Ndo maana hujaniona pale Lupaso kupiga picha na photocopy.Nasubiri mnibishie.
Watanzania wengi akiwemo Rais Samia na Wasaidizi wake hili walikuwa hawalijui hivyo si tu Wamedanganywa bali Wamesanifiwa na Kudharauliwa pia.Kombe la dunia original lipo kwa bingwa wa dunia wa football ambaye kwa sasa ni France,kisheria Fifa hawana uwezo wa kulichukua kombe hilo toka kwa France mpaka pale watakapovuliwa ubingwa,hilo kombe linalotembezwa kwa sasa ni mfano tuu siyo kombe halisi.
Msiwe Wapumbavu ( Mapopoma ) Siku zingine.Unataka tufanyaje sasa ?
Lilikuwa kombe la dunia au ilikuwa ile fimbo ya gold ya jumuiya ya madola ndio iliyoibwa.Kuna miaka lile kombe liliwahi ibwa.
Sikumbuki ilikuwa nchi ipi.
Naona wamejiongeza.
Na Wewe Siku hizi umeanza kurukwa Akili? Narudia kusema tena nikijiamini 100% kuwa FIFA hutembeza Kombe la Dunia 'Replica' na siyo 'Original' kama mlivyodanganywa na hata lile la Juzi alilobeba Mama yenu Kikatiba ni 'Replica' japo kwa 'Uzuzu' wenu Uliowatukuka mmeaminishwa kuwa ndiyo lenyewe.Watakuja nayo yote, original na fake,
Kwa Mheshimiwa watapeleka original mtaani tutaona fake.
Walikuwa ni Masela ( Wahuni ) wa Italia.Waliwahi kutembeza original wahuni wakapita nalo sema kuna wabongo hawajui hili
Mkuu nimecheka mpaka basi..........!!!!!Sasa wafanyeje kama mtu anapenda show off ata kitaan ukijifanya bishoo sana wajanja zaidi yako wanakupa ata midosho upigilie then wanakusifia umeulamba mkali
Liliibiwa Brazil wakati wanalitembeza mtaani baada ya kuchukua UbingwaKuna miaka lile kombe liliwahi ibwa.
Sikumbuki ilikuwa nchi ipi.
Naona wamejiongeza.
Kwani yeye ndio Rais pekee alieyelipokea,Kenyata hamkumuona? Au mnataka kumponda Mama Samia kwa kila jambo afanyalo?Kwa hyo wana mu-enjoy Mama [emoji23]
Nani kakudamganya kuwa kombe bado lipo kwa Ufaransa?Kombe la dunia original lipo kwa bingwa wa dunia wa football ambaye kwa sasa ni France,kisheria Fifa hawana uwezo wa kulichukua kombe hilo toka kwa France mpaka pale watakapovuliwa ubingwa,hilo kombe linalotembezwa kwa sasa ni mfano tuu siyo kombe halisi.