Rais Samia akipokea Kombe la Dunia, Ikulu, Dar es Salaam Mei 31, 2022

Kwa mfano France akiibiwa ilo kombe inakuaje?
 
Unataka kusema Hilo NI TOY.?
haya tuambie Hilo kombe lililokuja Tanzania limetengenezwa na madini gani!?
 
sawa mtuambie Sasa hyo replica imetengenezwa kwa madini gani?
Yaani dunia nzima inajua Lile NI kombe la dunia halisi ana tokea mmakonde mmoja anakwambia Lile NI replica.
Sasa Kama sio lenyewe kulikuwa na haja gani ya kutembeza Hilo toy?
Kwa kutumia gharama kubwa
Neno zuri alilotumia Gentamicin ni replica,ukisema toy inamaanisha kitu cha kuchezea watoto.
 
Ningeshangaa sana kana Fools niliokuwa nawangojea na nawatamani kama Wewe msingejitokeza.

GENTAMYCINE kwa Kujiamini kabisa naendelea Kusisitiza kuwa FIFA huwa hawatembezi Kombe la Dunia 'Original' bali hutembeza 'Replica' tu.

Nimemaliza.
 
Lakini pia huwa linaguswa na rais wa nchi tu na siyo mwengine ye yote
 
Uhuru alilipokea na akaongea nao ofisini dakika chache akaondoka, sisi hadi sherehe limefanyiwa na hotuba juu,
Mkuu usimfananishe Uhuru Kenyatta na Marais ( Viongozi ) wengine 'Hopeless' hasa Barani Afrika Kwetu.
 
Sikumbuki ni lini umewahi kuwa na Akili hapa JamiiForums.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…