Rais Samia akisherehekea Siku ya Mtoto wa Afrika pamoja na wajukuu zake Ikulu Dar es Salaam

Rais Samia akisherehekea Siku ya Mtoto wa Afrika pamoja na wajukuu zake Ikulu Dar es Salaam

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
1718545813736.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan akisherehekea Siku ya Mtoto wa Afrika akiwa pamoja na wajukuu, Ikulu jijini Dar es Salaam. Siku hii huadhimishwa Juni 16 ya kila mwaka.

1718545820695.jpg

GQMDb-FW8AAKxgX.jpg

GQMDb8-WcAE57sb.jpg

Katika kuadhimisha siku hii, Rais Samia amesisitiza umuhimu wa Serikali, familia na jamii kushirikiana kuhakikisha watoto wanapata malezi bora yenye maadili mema, na kuhakikisha usalama wa mtoto ni jukumu la jamii nzima na siyo mzazi tu, vilevile kuwapatia elimu na historia za kuwahimiza uzalendo kwa nchi yao tangu wakiwa wadogo.
 
Hao tayari wana future, watarithi nafasi za uteuzi, mapesa na kazi nzuri nzuri serikalini.

Tuwapambanie na wakwetu kwa kuhakikisha kuna some degree of fairness ingawa dunia haijawahi kuwa fare hata siku moja.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisherehekea Siku ya Mtoto wa Afrika akiwa pamoja na wajukuu, Ikulu jijini Dar es Salaam. Siku hii huadhimishwa Juni 16 ya kila mwaka.

Katika kuadhimisha siku hii, Rais Samia amesisitiza umuhimu wa Serikali, familia na jamii kushirikiana kuhakikisha watoto wanapata malezi bora yenye maadili mema, na kuhakikisha usalama wa mtoto ni jukumu la jamii nzima na siyo mzazi tu, vilevile kuwapatia elimu na historia za kuwahimiza uzalendo kwa nchi yao tangu wakiwa wadogo.
Mashallah
 
Kuna waziri alitaka kupeleka mwanae hapo akaambiwa mwanao tayari anafahamika kupitia ccm-watoto.
 
Hili suala la jinsia moja kuingiliana kwa mapenzi na kuachwa tu bila kukemewa na viongozi wetu! Dua yangu naombea kwa hamu na kwa dhati ya moyo, liwapate watoto wa viongozi wetu, wawe mashogha labda litawagusa ili wakemee
Dah
 
Angetoa misaada vituo vya yatima sehemu mbalimbali nchini ingependeza zaidi
 
Back
Top Bottom