Rais Samia akishiriki tamasha la Mashindano ya Kuhifadhi Quran kwa Wanawake

Rais Samia akishiriki tamasha la Mashindano ya Kuhifadhi Quran kwa Wanawake

Hivi hao wanawake wa kiislam wakifika huko mbinguni wanapewa nini??? Maana wanaume wanatunukiwa nguvu za kushughulikia mabikra 72 na mito ya pombe,,,,au hawa wakienda huko ndo wanakua hao ma bikra wanaopewa wanaume
Mkuu si nao wanapewa wanaume 72 mabikra au mimi ndo sielewi??
 
sawa jifanye humtambui
Kaa mbali na hiyo picha ya huyo mtu.
Jagina, naomba nikuulize swali. Sio kwa ubaya ni nahitaji knowledge tu so usinijubu kama kejeri.
 
Kaa mbali na hiyo picha ya huyo mtu.
Jagina, naomba nikuulize swali. Sio kwa ubaya ni nahitaji knowledge tu so usinijubu kama kejeri.
Huyo mtu kwani ni nani hata uniambie nikae mbali naye ??
 
Mimi kichwa maji wewe kichwa mvinyo unayajuwa yanayotolea afghanistani maana uko nakuona umevaa kilemba

Baki na hizo hekaya zenu zinazohalalisha ushoga
Huna hoja ndio maana unaleta Viroja.

Inaonekana wewe ndio shoga unafukunyuliwa huko nyuma ndio maana unaleta mada za ushoga zisizo na uhusiano wowote ule na mada.
 

View: https://www.youtube.com/watch?v=dt5CakYo9AA
Leo kutakuwa na mashindano makubwa ya kuhifadhi Quran kwa wanawake katika uwanja wa Mkapa.
Mgeni rasmi atakuwa ni Rasi wa Tanzania - Dr Samia
Mashindano yataonyeshwa Live kupitia channel mbali duniani
Wanawake wameuhifadhi msahafu mzima wakiwemo watoto wadogo
Yaanza saa 12:00 asubuhi mpka saa 7:00 mchana

FAIDA YA KUHIFADHI QURAN
Kuhifadhi Qur'an kuna faida nyingi za kiroho, kijamii, na kimaisha, ikiwemo:

  1. Thawabu za Kiakhera: Kuhifadhi Qur'an ni ibada kubwa ambayo inampatia mhifadhi wake thawabu nyingi kutoka kwa Allah, ikiwa ni pamoja na daraja za juu katika Pepo.
  2. Ulinzi na Baraka: Kuhifadhi Qur'an husaidia kupata ulinzi wa Allah na baraka katika maisha, kwani Qur'an ni chanzo cha nuru na mwongozo.
  3. Kuhifadhi Dini: Kuhifadhi Qur'an ni njia ya kulinda dini na kuhakikisha kuwa maneno ya Allah yanabaki sahihi na safi bila mabadiliko.
  4. Kiongozi wa Maisha: Qur'an ni mwongozo wa maisha ya kila siku. Mtu anayehifadhi Qur'an ana uwezo wa kuzingatia na kutekeleza mafundisho yake kwa urahisi zaidi.
  5. Heshima na Hadhi: Watu wanaohifadhi Qur'an wanapata heshima kubwa katika jamii, kwani wanachukuliwa kama watu wa dini na kiongozi wa kiroho.
  6. Ukaribu na Allah: Mtu anayehifadhi Qur'an anajenga ukaribu na Allah kupitia kujifunza, kuzingatia, na kutafakari maneno Yake.
  7. Faida za Akili: Kuhifadhi Qur'an kunaboresha kumbukumbu, uwezo wa kuelewa mambo, na umakini, kwani inahitaji bidii na uvumilivu.
  8. Mafanikio ya Kijamii: Wanaohifadhi Qur'an mara nyingi wanapata fursa nzuri katika jamii, kama vile kuwa viongozi wa maombi, walimu, na washauri wa kiroho.

Rais Samia Suluhu Hassan,​

Amesema unapomlea binti vizuri kidini, akayasoma na kuyaelewa mafunzo ya kidini, ni dhahiri kwamba atakuja kuwa mama bora katika siku za baadaye na kuja kuwa mlezi mzuri wa familia na jamii yake.

Mashindano haya [kuhifadhi Quran] ni faraja kwa watoto wetu wanaoshiriki na wanaoandaliwa kuwa raia na wazazi wema, kwahiyo ni vema tukaweka nguvu kukuza zaidi mashindano ya aina haya.


Mashindano haya ya Kuhifadhi Quran yaende sambamba na Mashindano ya Kuhifadhi Hisabati, Kemia, Fizikia, Baiolojia, Jiografia, n.k.
 
Back
Top Bottom