Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Huduma ya kihospitali ndiyo inayofanyika hapo kwani anaponya maelfu ya wagonjwa peke yake, kusanya hosipitali zote nchini haziwezi kumfikia kwenye tiba ya papo kwa papo bila gharama.Rubbish. Je kuna huduma ya hospital au shule hapo?
Ndio walinzi wanaolinda yale masipika yanayopiga makelele ulitaka walinde bure?Hao 1,000 ni walinzi pamoja na wale wanaowaokota wanaoponywa.
We unaumwa, we ndio takataka tena iliyoozaRubbish. Je kuna huduma ya hospital au shule hapo?
Acha uongoHuduma ya kihospitali ndiyo inayofanyika hapo kwani anaponya maelfu ya wagonjwa peke yake, kusanya hosipitali zote nchini haziwezi kumfikia kwenye tiba ya papo kwa papo bila gharama.
We unadaiwa? Tuliza makalioMaskin oyeee...hongereni kwa kumchangia tajiri bilioni 15...
Mwamposa inaonekana anakupiga sana madole mwanetuWe unadaiwa? Tuliza makalio
Unatetea nini hapo sasa hautaki kuambiwa ukweli? Unatembea kwa Miguu kuhangaika kwenda kwenye Hema yeye anatembelea ndinga kali kwa pesa iliyochangwa na wewe nani fala hapo?We unaumwa, we ndio takataka tena iliyooza
Muongo mimi! Kynasiku wewe umewahi kukanusha kuhusu wale maelfu wanaoo ekana wakiponywa! Serikali imethibitisha kuwa wanaponywa ndiyo sababu rais kaenda kuzindua hospitali mbadala hiyo ya mtume Mwamposa.Acha uongo
Makao Makuu ya Chadema hizo huduma zipo?Rubbish. Je kuna huduma ya hospital au shule hapo?
Hii Nchi ina wajinga wengi sana kubabek zenu malofa kabisa km alivyowaita Hayati BWMMuongo mimi! Kynasiku wewe umewahi kukanusha kuhusu wale maelfu wanaoo ekana wakiponywa! Serikali imethibitisha kuwa wanaponywa ndiyo sababu rais kaenda kuzindua hospitali mbadala hiyo ya mtume Mwamposa.
Mchangie mumeo maskin mkubwa wewe.We unadaiwa? Tuliza makalio
Mwanachama wa CCM mwenye kadi ya Chama na anaefanya shughuli za Chama in details ni pandikizi la Mfumo, shughuli kuu ni kuwapumbaza wajinga wananchi masikini wasiihoji Serikali kuhusu mambo mbalimbali ila tu awaambie wamerogwa, wana mapepo, wana majini, hawana nguvu za kiroho awasalishe Baba Yetu mara 100 waende wakachukue maji na mafuta ya buku buku ili wapone. Kiufupi anawatisha wajinga wajinga nao wajinga wanajaa kwenye mfumo wanaenda anawapiga kitu ndani ya box.Hivi mpaka leo bado mnajiuliza tu Mwamposa ni nani!?
Mkuu haijawai kutokea jambo la mungu likawa kitu kidogo.Rais wa nchi anadilije na vitu vidogo kama hivyo?
EwaaaaKanisa la nchi ππΉπΏ
Kati ya hao wajinga nawe umo maana umeshindwa kuzuia igizo hilo.Hii Nchi ina wajinga wengi sana kubabek zenu malofa kabisa km alivyowaita Hayati BWM
Ushasema igizoKati ya hao wajinga nawe umo maana umeshindwa kuzuia igizo hilo.
Watanzania wajinga sana, wanauziwa udongo ππππHow?