peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Samia ni mweupe sana kwenye Creatuve Interrogation!Akijibu suala la kukatika kwa umeme, Naibu Waziri wa Nishati, Stephen Byabato aliwataka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kufanya ushirikishaji wa viongozi waliopo katika maeneo ili kukubaliana ni maeneo gani ya muhimu kwa ajili ya kupeleka umeme ikiwemo yale ya uzalishaji.
Ninajiuliza sipati jibu: Mbunge anauliza swali la Swali la mdngibna muhimu kwa wananchi wa Jimbo lake jibu linatolewa na naibu waziri.
Je Naibu waziri alikuwa hajui kuna hilo tatizo kabla ya ziara ya Rais?
Je Rais kwanini hakuongelea hiyo kero ?
Kulikuwa na haja gani mbunge kuuliza Rais hilo swali iwapo Naibu waziri alikuwa na jibu lake?
Huyo Mbunge kuna kitu anakitafuta.Akijibu suala la kukatika kwa umeme, Naibu Waziri wa Nishati, Stephen Byabato aliwataka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kufanya ushirikishaji wa viongozi waliopo katika maeneo ili kukubaliana ni maeneo gani ya muhimu kwa ajili ya kupeleka umeme ikiwemo yale ya uzalishaji.
Ninajiuliza sipati jibu: Mbunge anauliza swali la Swali la mdngibna muhimu kwa wananchi wa Jimbo lake jibu linatolewa na naibu waziri.
Je Naibu waziri alikuwa hajui kuna hilo tatizo kabla ya ziara ya Rais?
Je Rais kwanini hakuongelea hiyo kero ?
Kulikuwa na haja gani mbunge kuuliza Rais hilo swali iwapo Naibu waziri alikuwa na jibu lake?
Andika kwa kutumia maneno ya heshima unapomzungumzia mkuu wa nchi. #Usigeuze uhuru wa maoni kuwa jinai.Samia ni mweupe sana kwenye Creatuve Interrogation!
Sio mjenga hoja!
Sio mtoa Sera!
Ni Rais muandikiwa hotuba!
Hana vision ya kuweza kushawishi watu live!
Samia!
anapwaya kwenye Ziara,sababu watu walikwisha zoea Amsha-Amsha ziara za hayati JPM!
Mama sio
"Live Material"
bali ni
"Recorded Material"
....Nikimaanisha kwamba,Samia bila kukaa na washika Remote na kupewa Program,yeye binafsi hajiwezi.
Labda kwenye vikao vya kina Mama wenzie kujenga hoja za kutetea GENDER EQUALITY!
Hivi hukoje wewe, Mkuu? Unajua unamuongelea Rais wetu wa Nchi ya Tanzania. Onyesha staha kwa Taifa kwa kumuheshimu Rais wetu tafadhali....sana kwenye Creatuve...
Acha kumtisha ww kina samia wako maelfuAndika kwa kutumia maneno ya heshima unapomzungumzia mkuu wa nchi. #Usigeuze uhuru wa maoni kuwa jinai.
Angela Kairuki ni mama mwenye uwezo tunaweza kuondoka naye 2025 kupitia ccm akawa RaisAcha kumtisha ww kina samia wako maelfu
Hayuko Town, yuko Arusha.Kwahiyo Maza yuko town? Kwahiyo leo tusije town
Ni wapi amekosea katika hoja yake?Hivi hukoje wewe, Mkuu? Unajua unamuongelea Rais wetu wa Nchi ya Tanzania. Onyesha staha kwa Taifa kwa kumuheshimu Rais wetu tafadhali.
Arusha ganiHayuko Town, yuko Arusha.
Naunga mkono hojaAngela Kairuki ni mama mwenye uwezo tunaweza kuondoka naye 2025 kupitia ccm akawa Rais
Arusha kubwa. Au unataka aje nyumbani kwako Kwamromboo?Arusha gani
Maana nilipo hayupo
Wewe ni mitala wa Nani huko kwa walamba asali.Andika kwa kutumia maneno ya heshima unapomzungumzia mkuu wa nchi. #Usigeuze uhuru wa maoni kuwa jinai.
Samia ni mweupe sana kwenye Creatuve Interrogation!
Sio mjenga hoja!
Sio mtoa Sera!
Ni Rais muandikiwa hotuba!
Hana vision ya kuweza kushawishi watu live!
Samia!
anapwaya kwenye Ziara,sababu watu walikwisha zoea Amsha-Amsha ziara za hayati JPM!
Mama sio
"Live Material"
bali ni
"Recorded Material"
....Nikimaanisha kwamba,Samia bila kukaa na washika Remote na kupewa Program,yeye binafsi hajiwezi.
Labda kwenye vikao vya kina Mama wenzie kujenga hoja za kutetea GENDER EQUALITY!
Ni wapi amekosea katika hoja yake?
Ni ukweli usiopingika kuwa this president is not creative. She is incompetent and in a span of two years she's has proved failure.