Rais Samia akiwa Arusha ameshindwa kujibu swali la mbunge wa Arusha mjini kuhusu mgao wa umeme

Yule mlilaumu kuwa haandikiwi hotuba kuwa anaropoka.sasa huyu anaandikiwa Tena lawama. Yaani bianadamu hatujui tunachotaka jamani. Tunataka hasi zero or positive
SAWA!
Ukiandikiwa isome lakini,baadae kuna Session unapaswa kuiweka Pembeni ya kuandikiwa na kisha kuingia Live,kuongelea kile kilichoko Mezani na Umati ulioko mbele yako!
 
Akijibu suala la kukatika kwa umeme, Naibu Waziri wa Nishati, Stephen Byabato aliwataka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kufanya ushirikishaji wa viongozi waliopo katika maeneo ili kukubaliana ni maeneo gani ya muhimu kwa ajili ya kupeleka umeme ikiwemo yale ya uzalishaji.

Ninajiuliza sipati jibu: Mbunge anauliza swali la Swali la mdngibna muhimu kwa wananchi wa Jimbo lake jibu linatolewa na naibu waziri.

Je, Naibu waziri alikuwa hajui kuna hilo tatizo kabla ya ziara ya Rais?

Je, Rais kwanini hakuongelea hiyo kero ?
Kulikuwa na haja gani mbunge kuuliza Rais hilo swali iwapo Naibu waziri alikuwa na jibu lake?

Nilishangaa Sana. Eti anasema Viongozi wa Tanesco wamewasikiliza wataenda kukaa na kulifanyia kazi.
 
Je yeye anapotuambia Watanzania Rumezowea vya Bure!

Hiyo sio Dharau kwetu?

Ni kipi cha Bure,na Lini kilitolewa na ni nani alikuwa akikitoa???¿¿¿
Tumezoea sana vya bure ndiyo mana tunahangaika sasa tunapoambiwa tulipe.

mfano: elimu bure tukipewa mikopo hatutaki kulipa mpaka kwa mbinde.

matibabu tunasubiri bure na malalamiko mengi.

ardhi ni bure hatulipi mpaka kwa vitisho.
 
naunga mkono comment 🤝🤝🤝

kuna mtu aliniuliza why kawarudisha wakina wazee wa zamani kwenye system.

nikamjibu bi mkubwa bado mwepesi sana anaitaji watu kama wale wamlinde kwenye kila idara
Mshazoea kunijibiwa kibabe kama,, "baki na mavi yako nyumbani kwako","sigawi chakula, asiefanya kazi afe kabisa'😂,
You cant treat a bushman in a civilized way, it wont understand,, 🤷🏻‍♀️
 
Akijibu suala la kukatika kwa umeme, Naibu Waziri wa Nishati, Stephen Byabato aliwataka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kufanya ushirikishaji wa viongozi waliopo katika maeneo ili kukubaliana ni maeneo gani ya muhimu kwa ajili ya kupeleka umeme ikiwemo yale ya uzalishaji.

Ninajiuliza sipati jibu: Mbunge anauliza swali la Swali la mdngibna muhimu kwa wananchi wa Jimbo lake jibu linatolewa na naibu waziri.

Je, Naibu waziri alikuwa hajui kuna hilo tatizo kabla ya ziara ya Rais?

Je, Rais kwanini hakuongelea hiyo kero ?
Kulikuwa na haja gani mbunge kuuliza Rais hilo swali iwapo Naibu waziri alikuwa na jibu lake?
Rais ajibu wakati wahusika wapo? Ili iwaje? Rais anawafanyia kazi Mawaziri?

Ndio maana ya kuambatana na Mawaziri wa kisekta kwenye ziara sio swala la Rais.
 
SAWA!
Ukiandikiwa isome lakini,baadae kuna Session unapaswa kuiweka Pembeni ya kuandikiwa na kisha kuingia Live,kuongelea kile kilichoko Mezani na Umati ulioko mbele yako!
Mtasema anaropoka ama anajitungia
 
Mtoa mada uwe unasikiliza taarifa mpaka mwisho ndio uandike

Na sio kukurupuka tu !

Mama atajibuje hoja na wakati mawaziri wapo, na ndio maana anazunguka nao
 
Akijibu suala la kukatika kwa umeme, Naibu Waziri wa Nishati, Stephen Byabato aliwataka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kufanya ushirikishaji wa viongozi waliopo katika maeneo ili kukubaliana ni maeneo gani ya muhimu kwa ajili ya kupeleka umeme ikiwemo yale ya uzalishaji.

Ninajiuliza sipati jibu: Mbunge anauliza swali la Swali la mdngibna muhimu kwa wananchi wa Jimbo lake jibu linatolewa na naibu waziri.

Je, Naibu waziri alikuwa hajui kuna hilo tatizo kabla ya ziara ya Rais?

Je, Rais kwanini hakuongelea hiyo kero ?
Kulikuwa na haja gani mbunge kuuliza Rais hilo swali iwapo Naibu waziri alikuwa na jibu lake?
 
Mkuu umeadimika sana ukumbini hapa, kwema lakini?!
Mkuu, nipo. Kwa desturi yetu waswahili nasema, ' kwema Mkuu'. Kwa Sasa nasoma zaidi maoni ya wenzetu hapa. NalaZimika kuja front pale ninapohisi Kuna jambo la kuongezea. Ha ha haaaa!
 
Na hili nalo nakuachieni mkalitizame kwa ukaribu
 
Akijibu suala la kukatika kwa umeme, Naibu Waziri wa Nishati, Stephen Byabato aliwataka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kufanya ushirikishaji wa viongozi waliopo katika maeneo ili kukubaliana ni maeneo gani ya muhimu kwa ajili ya kupeleka umeme ikiwemo yale ya uzalishaji.

Ninajiuliza sipati jibu: Mbunge anauliza swali la Swali la mdngibna muhimu kwa wananchi wa Jimbo lake jibu linatolewa na naibu waziri.

Je, Naibu waziri alikuwa hajui kuna hilo tatizo kabla ya ziara ya Rais?

Je, Rais kwanini hakuongelea hiyo kero ?
Kulikuwa na haja gani mbunge kuuliza Rais hilo swali iwapo Naibu waziri alikuwa na jibu lake?
Imaki kidogo uvuenguo sasa ulitaka ajibu kilicho jibiwa kifupi mh rais hakuleta ukame tulia umeme utapata
 
Mshazoea kunijibiwa kibabe kama,, "baki na mavi yako nyumbani kwako","sigawi chakula, asiefanya kazi afe kabisa'😂,
You cant treat a bushman in a civilized way, it wont understand,, 🤷🏻‍♀️
tumezoea na tulikuwa tunaenjoy balaa chief sana sana kile ambacho tunaambiwa tunakiona kinafanyika
 
Back
Top Bottom