Rais Samia akiwa Arusha ameshindwa kujibu swali la mbunge wa Arusha mjini kuhusu mgao wa umeme

Rais Samia akiwa Arusha ameshindwa kujibu swali la mbunge wa Arusha mjini kuhusu mgao wa umeme

Samia ni mweupe sana kwenye Creatuve Interrogation!
Sio mjenga hoja!
Sio mtoa Sera!
Ni Rais muandikiwa hotuba!
Hana vision ya kuweza kushawishi watu live!
Samia!
anapwaya kwenye Ziara,sababu watu walikwisha zoea Amsha-Amsha ziara za hayati JPM!

Mama sio
"Live Material"
bali ni
"Recorded Material"

....Nikimaanisha kwamba,Samia bila kukaa na washika Remote na kupewa Program,yeye binafsi hajiwezi.

Labda kwenye vikao vya kina Mama wenzie kujenga hoja za kutetea GENDER EQUALITY!
Yule mlilaumu kuwa haandikiwi hotuba kuwa anaropoka.sasa huyu anaandikiwa Tena lawama. Yaani bianadamu hatujui tunachotaka jamani. Tunataka hasi zero or positive
 
Samia ni mweupe sana kwenye Creatuve Interrogation!
Sio mjenga hoja!
Sio mtoa Sera!
Ni Rais muandikiwa hotuba!
Hana vision ya kuweza kushawishi watu live!
Samia!
anapwaya kwenye Ziara,sababu watu walikwisha zoea Amsha-Amsha ziara za hayati JPM!

Mama sio
"Live Material"
bali ni
"Recorded Material"

....Nikimaanisha kwamba,Samia bila kukaa na washika Remote na kupewa Program,yeye binafsi hajiwezi.

Labda kwenye vikao vya kina Mama wenzie kujenga hoja za kutetea GENDER EQUALITY!

Muache rais wetu afanye kadiri ya uwezo aliyopewa na Muumba wake. Tusiingie kwenye mtego wa kulinganisha wala kutaka afanye kulingana na maoni na hisia zetu. Muache Rais apige kazi.
Labda cha kushauri, ni kuwa awe makini na washauri, pia azingatie kufuata katiba, sheria na miongozo kama anavyofanya, atafanikiwa zaidi na zaidi sana.
 
Nchi itafanikiwaje bila umeme na maji wa uhakika? Kwa muujiza gani? Unajua umuhimu wa umeme na maji wa uhakika katika maendeleo? Katika uzalishaji wa viwanda vikubwa na viwanda vidogo vidogo? Labda mnaposema atafanikiwa basi mnamaanisha wanaopata mishahara ya teuzi zake lakini sio raia wanaotegemea uzalishaji binafsi unaotegemea maji na umeme.
Watu wanaomiliki workshops wana hali gani? Mashine za kazi mbali mbali zinazotegemea umeme? Hali ni mbaya. Hakuna mafanikio.
Majenereta nayo bei juu na mafuta bei juu.
 
Ni wapi amekosea katika hoja yake?

Ni ukweli usiopingika kuwa this president is not creative. She is incompetent and in a span of two years she's has proved failure.
Let your comment be the genuine conclusion of this thread for today.AMEN!!
 
Nchi itafanikiwaje bila umeme na maji wa uhakika? Kwa muujiza gani? Unajua umuhimu wa umeme na maji wa uhakika katika maendeleo? Katika uzalishaji wa viwanda vikubwa na viwanda vidogo vidogo? Labda mnaposema atafanikiwa basi mnamaanisha wanaopata mishahara ya teuzi zake lakini sio raia wanaotegemea uzalishaji binafsi unaotegemea maji na umeme.
Watu wanaomiliki workshops wana hali gani? Mashine za kazi mbali mbali zinazotegemea umeme? Hali ni mbaya. Hakuna mafanikio.
Majenereta nayo bei juu na mafuta bei juu.

Umenena vyema. Umeme na maji ni vitu muhimu katika kuendesha uchumi wa nchi. Na pengine hili linaweza kukwamisha zile juhudi za ukuaji wa 5+% ulikisiwa.
Tusimlaumu kana kwamba yeye ndiye ana nguvu kama Muumba. Tumshauri vizuri tu. Lkn pia pale anapofanya vizuri, tumpongeze.
 
acha fix, Rais hawezi kushindwa kujibu swali.
 
Muache rais wetu afanye kadiri ya uwezo aliyopewa na Muumba wake. Tusiingie kwenye mtego wa kulinganisha wala kutaka afanye kulingana na maoni na hisia zetu. Muache Rais apige kazi.
Labda cha kushauri, ni kuwa awe makini na washauri, pia azingatie kufuata katiba, sheria na miongozo kama anavyofanya, atafanikiwa zaidi na zaidi sana.
Siku hizi za mitandao kila mtu ana maoni yake kuhusu Rais na anataka ajibu hoja kama vile anavyopenda yeye.
 
Huoooo umerudi tena, natamani Raise akae huku Chugga hata wiki ili tufurahie world cup na kazi zetu zinazotegemea umeme zifanyike maana Wengine mara nyingi tunafanyia kazi tukiwa home
 
Akijibu suala la kukatika kwa umeme, Naibu Waziri wa Nishati, Stephen Byabato aliwataka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kufanya ushirikishaji wa viongozi waliopo katika maeneo ili kukubaliana ni maeneo gani ya muhimu kwa ajili ya kupeleka umeme ikiwemo yale ya uzalishaji.

Ninajiuliza sipati jibu: Mbunge anauliza swali la Swali la mdngibna muhimu kwa wananchi wa Jimbo lake jibu linatolewa na naibu waziri.

Je, Naibu waziri alikuwa hajui kuna hilo tatizo kabla ya ziara ya Rais?

Je, Rais kwanini hakuongelea hiyo kero ?
Kulikuwa na haja gani mbunge kuuliza Rais hilo swali iwapo Naibu waziri alikuwa na jibu lake?
Ni unafiki tu,, tatizo la umeme kila siku Tanesco wanatoa ufafanuzi,, so unamuuliza Rais kwa mukhtaza upi kama sio unafikuni?,
 
[QUOTE="MoseKing, post: 44419110, member: 442025"
Wewe ni mitala wa Nani huko kwa walamba asali.

Sijawahi kuona mtu wake wengi au kaolewa mke wa pili akawa na akili timamu
[/QUOTE]
Kumradhi. Pokea ushauri ukifaa usipofaa bsi nami usitumie lugha zisizo na staha. Ulikuwa ushauri tu kwa nia njema. Asante.🙏🙏🙏
 
Huyo Mbunge kuna kitu anakitafuta.

Tutakutana naye kwenye kura za maoni 2025.
Majimbo yote kule wanakojielewa hayatarudi CCM na Saa100 atakuwa ni sababu nyingine ya kuhadhibiwa kwao maana hasira za wananchi zitaishia kwa wabunge na hivyo kukiumiza chama
 
Samia ni mweupe sana kwenye Creatuve Interrogation!
Sio mjenga hoja!
Sio mtoa Sera!
Ni Rais muandikiwa hotuba!
Hana vision ya kuweza kushawishi watu live!
Samia!
anapwaya kwenye Ziara,sababu watu walikwisha zoea Amsha-Amsha ziara za hayati JPM!

Mama sio
"Live Material"
bali ni
"Recorded Material"

....Nikimaanisha kwamba,Samia bila kukaa na washika Remote na kupewa Program,yeye binafsi hajiwezi.

Labda kwenye vikao vya kina Mama wenzie kujenga hoja za kutetea GENDER EQUALITY!
naunga mkono comment 🤝🤝🤝

kuna mtu aliniuliza why kawarudisha wakina wazee wa zamani kwenye system.

nikamjibu bi mkubwa bado mwepesi sana anaitaji watu kama wale wamlinde kwenye kila idara
 
Andika kwa kutumia maneno ya heshima unapomzungumzia mkuu wa nchi. #Usigeuze uhuru wa maoni kuwa jinai.
Na ni wapi nilipomsema kwa kejeli?
Nilichokisema ni kwa mujibu wa nilivyomtathmini!.

Kuandikiwa hotuba sio tusi!
Kutokuwa na ujasiri wa kujibu hoja jadharani ni tusi?

Kwa nini anakwepa Maswali na kuwarushia Mawaziri,wakati mbunge kamuuliza yeye Mheshimiwa Rais?

Usitutowe kwenye mstari ili hoja ya msingi ipotee!

Ziara ya kukurupuka kuja kumjibu Dokta!

Haikuwa na Maandalizi!

Je yeye anapotuambia Watanzania Rumezowea vya Bure!

Hiyo sio Dharau kwetu?

Ni kipi cha Bure,na Lini kilitolewa na ni nani alikuwa akikitoa???¿¿¿
 
Back
Top Bottom