Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Yule mlilaumu kuwa haandikiwi hotuba kuwa anaropoka.sasa huyu anaandikiwa Tena lawama. Yaani bianadamu hatujui tunachotaka jamani. Tunataka hasi zero or positiveSamia ni mweupe sana kwenye Creatuve Interrogation!
Sio mjenga hoja!
Sio mtoa Sera!
Ni Rais muandikiwa hotuba!
Hana vision ya kuweza kushawishi watu live!
Samia!
anapwaya kwenye Ziara,sababu watu walikwisha zoea Amsha-Amsha ziara za hayati JPM!
Mama sio
"Live Material"
bali ni
"Recorded Material"
....Nikimaanisha kwamba,Samia bila kukaa na washika Remote na kupewa Program,yeye binafsi hajiwezi.
Labda kwenye vikao vya kina Mama wenzie kujenga hoja za kutetea GENDER EQUALITY!
Samia ni mweupe sana kwenye Creatuve Interrogation!
Sio mjenga hoja!
Sio mtoa Sera!
Ni Rais muandikiwa hotuba!
Hana vision ya kuweza kushawishi watu live!
Samia!
anapwaya kwenye Ziara,sababu watu walikwisha zoea Amsha-Amsha ziara za hayati JPM!
Mama sio
"Live Material"
bali ni
"Recorded Material"
....Nikimaanisha kwamba,Samia bila kukaa na washika Remote na kupewa Program,yeye binafsi hajiwezi.
Labda kwenye vikao vya kina Mama wenzie kujenga hoja za kutetea GENDER EQUALITY!
AmeshakujaArusha kubwa. Au unataka aje nyumbani kwako Kwamromboo?
Nchi itafanikiwaje bila umeme na maji wa uhakika? Kwa muujiza gani? Unajua umuhimu wa umeme na maji wa uhakika katika maendeleo? Katika uzalishaji wa viwanda vikubwa na viwanda vidogo vidogo? Labda mnaposema atafanikiwa basi mnamaanisha wanaopata mishahara ya teuzi zake lakini sio raia wanaotegemea uzalishaji binafsi unaotegemea maji na umeme.Muache rais wetu afanye kadiri ya uwezo aliyopewa na Muumba wake. Tusiingie kwenye mtego wa kulinganisha wala kutaka afanye kulingana na maoni na hisia zetu. Muache Rais apige kazi.
Labda cha kushauri, ni kuwa awe makini na washauri, pia azingatie kufuata katiba, sheria na miongozo kama anavyofanya, atafanikiwa zaidi na zaidi sana.
Let your comment be the genuine conclusion of this thread for today.AMEN!!Ni wapi amekosea katika hoja yake?
Ni ukweli usiopingika kuwa this president is not creative. She is incompetent and in a span of two years she's has proved failure.
Nchi itafanikiwaje bila umeme na maji wa uhakika? Kwa muujiza gani? Unajua umuhimu wa umeme na maji wa uhakika katika maendeleo? Katika uzalishaji wa viwanda vikubwa na viwanda vidogo vidogo? Labda mnaposema atafanikiwa basi mnamaanisha wanaopata mishahara ya teuzi zake lakini sio raia wanaotegemea uzalishaji binafsi unaotegemea maji na umeme.
Watu wanaomiliki workshops wana hali gani? Mashine za kazi mbali mbali zinazotegemea umeme? Hali ni mbaya. Hakuna mafanikio.
Majenereta nayo bei juu na mafuta bei juu.
Siku hizi za mitandao kila mtu ana maoni yake kuhusu Rais na anataka ajibu hoja kama vile anavyopenda yeye.Muache rais wetu afanye kadiri ya uwezo aliyopewa na Muumba wake. Tusiingie kwenye mtego wa kulinganisha wala kutaka afanye kulingana na maoni na hisia zetu. Muache Rais apige kazi.
Labda cha kushauri, ni kuwa awe makini na washauri, pia azingatie kufuata katiba, sheria na miongozo kama anavyofanya, atafanikiwa zaidi na zaidi sana.
Ni unafiki tu,, tatizo la umeme kila siku Tanesco wanatoa ufafanuzi,, so unamuuliza Rais kwa mukhtaza upi kama sio unafikuni?,Akijibu suala la kukatika kwa umeme, Naibu Waziri wa Nishati, Stephen Byabato aliwataka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kufanya ushirikishaji wa viongozi waliopo katika maeneo ili kukubaliana ni maeneo gani ya muhimu kwa ajili ya kupeleka umeme ikiwemo yale ya uzalishaji.
Ninajiuliza sipati jibu: Mbunge anauliza swali la Swali la mdngibna muhimu kwa wananchi wa Jimbo lake jibu linatolewa na naibu waziri.
Je, Naibu waziri alikuwa hajui kuna hilo tatizo kabla ya ziara ya Rais?
Je, Rais kwanini hakuongelea hiyo kero ?
Kulikuwa na haja gani mbunge kuuliza Rais hilo swali iwapo Naibu waziri alikuwa na jibu lake?
Ni wapi amekosea katika hoja yake?
Ni ukweli usiopingika kuwa this president is not creative. She is incompetent and in a span of two years she's has proved failure.
Nimeomba busara ndugu yangu. Samahani kama nimeonekana kumtisha.๐๐๐Acha kumtisha ww kina samia wako maelfu
Typing error. Not a big dealSheโs has proved failure[emoji848]
UNAJIDHALILISHA BRO..!! Hoja hujibiwa kwa hoja, na si kwa lugha za kihuni kama hizi.Acha hizo wewe!
Majimbo yote kule wanakojielewa hayatarudi CCM na Saa100 atakuwa ni sababu nyingine ya kuhadhibiwa kwao maana hasira za wananchi zitaishia kwa wabunge na hivyo kukiumiza chamaHuyo Mbunge kuna kitu anakitafuta.
Tutakutana naye kwenye kura za maoni 2025.
naunga mkono comment ๐ค๐ค๐คSamia ni mweupe sana kwenye Creatuve Interrogation!
Sio mjenga hoja!
Sio mtoa Sera!
Ni Rais muandikiwa hotuba!
Hana vision ya kuweza kushawishi watu live!
Samia!
anapwaya kwenye Ziara,sababu watu walikwisha zoea Amsha-Amsha ziara za hayati JPM!
Mama sio
"Live Material"
bali ni
"Recorded Material"
....Nikimaanisha kwamba,Samia bila kukaa na washika Remote na kupewa Program,yeye binafsi hajiwezi.
Labda kwenye vikao vya kina Mama wenzie kujenga hoja za kutetea GENDER EQUALITY!
Kuna Hoja gani hapo?UNAJIDHALILISHA BRO..!! Hoja hujibiwa kwa hoja, na si kwa lugha za kihuni kama hizi.
Na ni wapi nilipomsema kwa kejeli?Andika kwa kutumia maneno ya heshima unapomzungumzia mkuu wa nchi. #Usigeuze uhuru wa maoni kuwa jinai.