Rais Samia akizindua Toleo la Sheria Zilizofanyiwa Urekebu la Mwaka 2023 Chamwino Dodoma Aprili 23, 2025

Rais Samia akizindua Toleo la Sheria Zilizofanyiwa Urekebu la Mwaka 2023 Chamwino Dodoma Aprili 23, 2025

ben+saananee.jpg
soka-e1724250077267-1024x968.jpg
kibao.jpg
 
Wanabodi
Karibuni kwenye hii
Live From Ikulu ya Chamwino Dodoma: Uzinduzi wa Toleo Jipya la Sheria Zaidi 400 Zilizofanyiwa Urekebu Mwaka 2023 na Tume ya Kurekebisha Sheria.

View: https://www.youtube.com/live/nEw7RGK2-tc?si=SMOQGaz_q93xuap-

Paskali
Update
Kumbe hii kitu tayari imo humu Rais Samia akizindua Toleo la Sheria Zilizofanyiwa Urekebu la Mwaka 2023 Chamwino Dodoma Aprili 23, 2025

Hivyo mode do the needful.
P

Paschal umealikwa au umejialika? tuanzie hapo
 
Urekebu ni kuzifanyia marekebisho sheria zote zilizofanyiwa marekebisho na Tume ya Kurekebisha Sheria.

Sheria hizo zilizorekebishwa ndizo zinaitwa sheria zilizofanyiwa urekebu
P
Sasa marekebisho ya sheria si huwa yanafanywa kila siku na bunge hii ina utofauti gani? Maana kila kikao huwa kuna miswada ya sheria ya mabadiliko ya sheria mbalimbali kwa kibeberu nasikiaga wanasema "written laws misclenious amendment Act. Hii ya leo ya kufanyiwa sherehe ni ipi?
 
Back
Top Bottom